USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Barcelona ilipoanza kufanya vibaya taratibu nilianza kujitoa na mpaka sasa nimefanikiwa now naanza mazoezi ya kutokua mshabiki wa chama chochote.
Mkuu hamia CCM tu, kule kuna maslahi
 
Haitasaidia,ni vita ya kipumbavu!

Dunia inawaona chadema kama Trump kwa hiyo ni ujinga kususa viti maalum
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
 
Hakuna namna hauwezi kususia mapambano 9

Kama hauna mbunge hata mmoja na chama kimekufa mazima

Mbowe alishasema pale mlimani city siku ya wanawake Chadema
Akistaafu yeye uenyekiti chama kitakuwa chini ya wanawake na yeye anapenda iwe hivyo

Wenyewe wenye chama kwa mujibu wa Mbowe ndio hao wapo bungeni bawacha..
 
Technically chadema wamefanya kosa kubwa Sana
Naanza kuelewa kwanini ccm haitakuja kushindwa uchaguzi wowote

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
ccm itakaa ikulu milele endapo ujinga huu utaendelea chadema lakini siku mbowe akizeeka au hata kufariki akaja mwenyekiti mwenye msimamo asiyependa pesa mbele ndipo chadema itapiga hatua kimaendeleo
 
Kufukuzana uanachama haijawahi kuwa solution yenye kuleta tija

Nyie tulieni maisha yaendelee tu na wanasiasa wasiwape stress. Jiulize kwanini mpaka leo Aida hakuwa amefukuzwa?

Jiulize mpaka leo kwanini ACT wamemute kujibu barua kama hawatojoin SUK? Jiulize kwa nini kwenye press conference ya jana alikuwepo Lissu na Zitto tu? Mbowe na Mnyika walikuwa wapi?
Lissu na Zitto ndio wapinzani Hawa wengne nna mashaka nasubiri press

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa.
Sawa wamewanyang'anya kura lakini hela za ubunge kachukueni mje kuendelezea chama.
Chama kina shughuli zinazohitaji pesa, hivyo kidogo hicho kitasaidia.
Ofisi mmepanga. kodi.
Mna magari,
mafuta mtatoa wapi kama viongozi watahitaji kutembelea wanachama wao mikoani.
Huko mkoani watalala wapi watakula nini.
Kazi za ofisi zinahitaji hela.
Hawa wabunge itakuwa ni sauti ya upinzani bungeni.

Tuwe chanya.
 
Ndani ya CHADEMA wote wana price tag wanachotofautia ni dau tu.

Huwa wanasikitisha sana wafuasi wao "vipofu" wanaoleta hekaya za ukombozi na blah blah kama hizo.
Acha ujinga wewe, chadema wenye Weledi wamekataa unafiki wote ndiyo maana wamesema ukweli kuwa mbowe kala Rushwa toka ccm kauza viti maalum kwa ccm kibiashara kuisaidia ccm ikwepe vikwazo vya kimataifa, Huko ccm hakuna wa kupinga unafiki wa ccm kuchukua pesa za walipa kodi kwenda kumpa mbowe wanaogopa kusema ukweli, ccm mtakufa kwa unafiki wenu pesa zinatumika vibaya badala ya maendeleo zinatumika kuwapa mbowe lakini ccm mpo kimya
 
Sishabikii chochote nimegundua badala ya kutafuta hela napoteza muda wangu bure kwa upumbavu.
Pesa iliyotumika kuwanunua wabunge viti maalum ingeweza kujenga viwanda zaidi ya 100 ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, ccm hawataki maendeleo wamekalia ununuzi wa kimasilahi kuwafaidisha madalali waliofanikisha huo mchongo
 
Back
Top Bottom