Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

Sio kiziwi kabisa nina usikivu hafifu wa kuchelewa kusikia sauti
Kama ni hivi mbona unapona!!fuatilia ujue tatizo ni nini,sauti kuchelewa kufika!!!!!so kwamba sauti unaisikia lakini unashindwa kuelewa matamshi kwa haraka? Na ukipona tafuta Pisi nyingine hiyo piga chini.
 
Mwanamke alimwambia best yake mtu mwenyewe hasikii nitampeleka wapi
Mkabili umuulize na umpe muda akujibu kiusahihi kama anataka umuone au la.

Umwambie zikipita siku fulani (mfano tatu) ikiwa sijapata jibu basi mimi natafuta mwingine ambaye atanikubali.

Baada ya hizo siku kama hakuna jibu wewe songe mbele tafuta ambaye atakukubali (umwambie ukweli tangu mwanzo wenu).
 
Soma comment ya 105


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ahh ticha kumbe upo huku jeiefu, ipandishe course work yangu basi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivi mbona unapona!!fuatilia ujue tatizo ni nini,sauti kuchelewa kufika!!!!!so kwamba sauti unaisikia lakini unashindwa kuelewa matamshi kwa haraka? Na ukipona tafuta Pisi nyingine hiyo piga chini.
Ndiyo hivyo hakika hujakosea nifuatilie wapi
 
Na bado tu upo nae, hivi vijana wa sasa mna shida gani mbona ni wagumu sana kufanya maamuzi
Kuna tatizo mahali upande wa vijana wa kiume tuseme tu ukweli, imagine anaingia kwenye ndoa sidhani kama ataiweza kufanya maamuzi yoyote.

Kuna mmoja eti ana demu wake kamkuta na mtoto wa miezi 7 akamchukua waishi wote, demu anatoka usiku anaenda kuliwa halafu anarudi, jamaa anaomba ushauri afanyeje
 
Usimuoe tafuta atakaekupenda muache asubirie mkamilifu aone!!!!
Mungu amekupa ishara mapema sana
 
Aisee hili ni tatizo, ndio hawa wakataa ndoa maana hawawezi kuishi na mwanamke hata mwezi wenyewe wanajua kumuita dame ghetto wazagamuane basi, na akijitahidi kukaa na mwanamke basi mdada atakuwa juu mwanaume yupo chini, which won't last long
 
Pole sana
Ushauri wangu.
Usilazimishe kisichoewezekana, kama kweli amesema hivyo na ukahakikisha ni kweli Achana naye usiishi katika gereza maisha Yako yote, maana anachowaza kwenye akili ni vigumu kukifuta, hata hivyo hakuna binadamu mkamilifu.
Mtafute uongee naye akuthibitishie waswasi wako kuwa ni kweli au ni uvumi ikithibitika vyovyote vile chukua hatua maana maisha ni Yako, Mazishi ni yetu.
Mwisho wa yote mtangulize MUNGU Kwa Kila jambo utafanikiwa.
 
Atauliza kakwambia nani nimjibuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…