🤣🤣🤣🤣 Wataka changamkia fursa nini mremboPesa unayo ya kutosha lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Wataka changamkia fursa nini mremboPesa unayo ya kutosha lakini?
Kama ni hivi mbona unapona!!fuatilia ujue tatizo ni nini,sauti kuchelewa kufika!!!!!so kwamba sauti unaisikia lakini unashindwa kuelewa matamshi kwa haraka? Na ukipona tafuta Pisi nyingine hiyo piga chini.Sio kiziwi kabisa nina usikivu hafifu wa kuchelewa kusikia sauti
Mkabili umuulize na umpe muda akujibu kiusahihi kama anataka umuone au la.Mwanamke alimwambia best yake mtu mwenyewe hasikii nitampeleka wapi
Mkuu nitafute nikupatie dawa hiyo shida inaisha kuhusu malipo sizingatii sana kama ukishapona ukiona inafaa kuniachia kiasi chochote siyo mbayaSio kiziwi kabisa nina usikivu hafifu wa kuchelewa kusikia sauti
Haujafa haujaumbika. Unajua kesho yako?Tufanye wewe ndo ungekuwa yeye ungekubali?
Kwasasa huyo mwanamke unatakiwa umuache, hakufai.Kweli hii sio chai mkuu nahitaji ushauri
Soma comment ya 105Dah! Pole sana mkuu, mim pia ni kiziw kama wewe nilipatwa na tatizo mwaka 2013 nikiwa kidato cha pili, hata mimi napitia chamgamoto kama yako imekuwa ngumu sana kwangu kuanzisha mahusiano kwan kila ninaejaribu kumweleza hisia zangu mwisho huishia kunikataa, nawaza sana cjui nitaishi maisha gani mim, nataman na mim niwe na familia sababu umri nao unasonga lakin ndo hivyo tena najikuta sina namna. Kiukwel inaumiza sana kwan sikupenda niwe hiv
Ahh ticha kumbe upo huku jeiefu, ipandishe course work yangu basiMimi nina tatizo linalofanana na lako kwa kiasi fulani, nina tatizo linaitwa tinnitus nilipata nikiwa form one 2007. Nilipoteza uwezo wa kusikia kwa 80%.
Kwa experience yangu sidhani kama its a big issue maana nishakua na relationship kibao tu since niko secondary mpaka chuo na mpaka sasa walikua mademu wananielewa sana and the ladies didn’t give a shit about my problem. Na saiv nna pisi moja kali sana tunaoana mwaka huu, tena ni mdada mzuri haswa.
I can say uyo dada hakupendi tu. Pia jiamini na tafuta pesa, narudia tena make sure uko na pesa. Mapenzi hayaangalii hizo issues ni kwamba uyo anakutafutia sababu tu akuache ila hakupendi.
Mimi nafundisha chuo pia, wanafunzi kibao have crush on me. Wako wengine wananiibukia live. So siwezi sema kuwa na shida hio inaweza kuwa sababu mtu asipendwe.
Jaribu kujitathmini kwny maisha yako kuna mahala unakosea au haujiamini au hauchkui nafasi yako kama mwanaume. Kuhusu tatizo lako weka pembeni kwanZa focus on building yourself
Ndiyo hivyo hakika hujakosea nifuatilie wapiKama ni hivi mbona unapona!!fuatilia ujue tatizo ni nini,sauti kuchelewa kufika!!!!!so kwamba sauti unaisikia lakini unashindwa kuelewa matamshi kwa haraka? Na ukipona tafuta Pisi nyingine hiyo piga chini.
Kwahiyo mkuu unataka tukupe ushauri gani?Mwanamke alimwambia best yake mtu mwenyewe hasikii nitampeleka wapi
Kha!Je kwenye sex Unasikia Utamu?
Kuna tatizo mahali upande wa vijana wa kiume tuseme tu ukweli, imagine anaingia kwenye ndoa sidhani kama ataiweza kufanya maamuzi yoyote.Na bado tu upo nae, hivi vijana wa sasa mna shida gani mbona ni wagumu sana kufanya maamuzi
Ndio madhara ya kuzaliwa gest hausi hayoSina mda wa kubishana na single mother kama wew
Aisee hili ni tatizo, ndio hawa wakataa ndoa maana hawawezi kuishi na mwanamke hata mwezi wenyewe wanajua kumuita dame ghetto wazagamuane basi, na akijitahidi kukaa na mwanamke basi mdada atakuwa juu mwanaume yupo chini, which won't last longKuna tatizo mahali upande wa vijana wa kiume tuseme tu ukweli, imagine anaingia kwenye ndoa sidhani kama ataiweza kufanya maamuzi yoyote.
Kuna mmoja eti ana demu wake kamkuta na mtoto wa miezi 7 akamchukua waishi wote, demu anatoka usiku anaenda kuliwa halafu anarudi, jamaa anaomba ushauri afanyeje
Hafai kuwa mkeMwanamke alimwambia best yake mtu mwenyewe hasikii nitampeleka wapi
Pole sanaWadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Atauliza kakwambia nani nimjibujePole sana
Ushauri wangu.
Usilazimishe kisichoewezekana, kama kweli amesema hivyo na ukahakikisha ni kweli Achana naye usiishi katika gereza maisha Yako yote, maana anachowaza kwenye akili ni vigumu kukifuta, hata hivyo hakuna binadamu mkamilifu.
Mtafute uongee naye akuthibitishie waswasi wako kuwa ni kweli au ni uvumi ikithibitika vyovyote vile chukua hatua maana maisha ni Yako, Mazishi ni yetu.
Mwisho wa yote mtangulize MUNGU Kwa Kila jambo utafanikiwa.