Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti

Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa Mungu tujue moja.

Yaani mtu unamla huku anakuwekea masharti. Je, nami nikianza kumwekea masharti kwenye pesa zangu sitaonekana mbaya? Je, nikiamua sasa kuwa awe niwe namhudumia tu bila kumla na yeye hatosema namnyanyasa kijinsia?

Naombeni ushauri kabla sijaamu kumchabanga mibao wakati wa kukandana miili maana inakuwa kero mimi hizo styles ndo napenda niwe naona kila kitu.
 
Mtakuja kuua watoto wa watu , mapenzi ni starehe wadau ! Hebu ona mdau anavyotaka 😂😂 mtafute sasa wale watu wa Gymnatic
 

Attachments

  • IMG_20230518_183043_267.jpg
    IMG_20230518_183043_267.jpg
    17.1 KB · Views: 5
  • IMG_20230518_183212_616.jpg
    IMG_20230518_183212_616.jpg
    27.5 KB · Views: 6
  • IMG_20230518_183227_698.jpg
    IMG_20230518_183227_698.jpg
    40.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom