political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Uyu bibi apokonywe simu naona uzee unamsumbua..Nenda kafanye, au wewe haupo huru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu bibi apokonywe simu naona uzee unamsumbua..Nenda kafanye, au wewe haupo huru?
Kila atakayesoma hii lazima acheke hata yeye mwenyewe betina.Bunge la yule demu wa kinyakyusa mwenye mwili kama Tegu litakuwa na maajabu gani
Tusisahau Waziri Yona na Mramba walishtakiwa mahakamani Kwa CCM Ile Ile.Kila atakayesoma hii lazima acheke hata yeye mwenyewe betina.
Uozo unahamishwa yaani!!Kipara kapiga.
Huu utaratibu mbaya sijui tutauacha lini?Uozo unahamishwa yaani!!
Yule ni mission town.Hana uzalendo kabisa.[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Msikuzee vitu, ni minor settlement, tena kwenye wings, kuweni na amaniTumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Nyufa kwenye Kuta za Bwawa lililobeba ziwa la JNHP ni minor issue?Msikuzee vitu, ni minor settlement, tena kwenye wings, kuweni na amani
Sikiliza kijana, maximum pressure ya msukumo wa maji ya bwawa upo kwenye center ambapo mashine zimefungwa, kule pembezoni kwenye wings msukumo ni mdogo sana, kikubwa ni kuhakikisha panaimarishwa tu na kudhibitiwa pasiongezeke, lakini kule pembeni hata ukamwaga ukuta wa kifusi (saddle dam) bado ni salama, achilia mbali zege.Nyufa kwenye Kuta za Bwawa lililobeba ziwa la JNHP ni minor issue?
THE CONSTRUCTION CHALLENGES ASWAN HIGH DAM, EGYPTNo research no right to speak.
Nawashauri tumieni muda kidogo kufanya tafiti nyepesi ya kimtandao "simple internet research" kabla ya kuja kudanganyana. Nimeitaama hiyo video sijaona "concern" yoyote ya masingi iiliyooneshwa na engoineer anaetowa maelezo wala waziri biteko. Au tunasikiliza vitu tofauti?
Kuna wanaonesha wamelishika neno "nyufa" na hawajali hizo nyufa ziko wapi. Nyufa zinazoongelewa hazipigiki picha kama ule uharo uliosambazwa.
Yaani Watanzania mmeshindwa kuelewa maana ya nyufa za kwenye mwamba zinazofanyiwa "grouting" ambazo engineer anazielezea hapo. Hizo kwa macho hazionekani, huwa kwa siku hizi zinaonekana kwa vifaa maalum au vipomo maalum, mradi hakuna nyufa kwenye "diaphragm walls" silioni tatizo.
Huo unaoongelewa kwenye hiyo video ni uboreshaji wa kawaida sana kwenye ujenzi, kama vifaa vilivyowekwa vimeonesha "abnormality".
Mara nyingi kutokana na vipimo vya awali vya mwamba unaweza kuweka grouting kwenye "design" au ikaamuliwa kuwa "grouting" itafanyika au isifanyike baada ya kuwepo na "load" kwenye bwawa. Kwa ujenzi na vifaa vya siku hizi Uwepo au usiwepo, mara nyingi au mara zote hufanyika ujenzi ukifikia stage fulani.
Hilo mbona ni jambo la kawaida kwenye miradi yoyote ya ujenzi mkubwa. Soma:
Are drilling and grouting in dam construction a requisite? – Heritage Infra Space
www.heritageconstruction.in
Are drilling and grouting in dam construction a requisite? – Heritage Infra Space
www.heritageconstruction.in
Ndo tunahitaji uchunguzi huru!!Ni expansion joint tulieni😁
Kamati huru itatufungua macho,Nimesikiliza clip ya maelezo yanayotolewa kwa naibu waziri mkuu na waziri wa nishati (Mh. Biteko).
Kinachozungumziwa pale ni kudhibiti maji kupenya kwenye miamba (permeability) na siyo nyufa kwenye ujenzi. Ujenzi umefanyika juu ya mwamba.
Kiasili udongo na miamba hupitisha vimiminika na hewa kwa viwango tofauti. Kwa miamba ya asili inayozunguka bwawa, lazima upitishaji huo udhibilitiwe kwa kushindilia grout kwa mashine maalum. Ni sehemu ya ujenzi na siyo makosa ya kiufundi.
Nyufa za kwenye zege ni tofauti na hili la kuzuia kwa grouting na madhara yake ni makubwa, ikiwemo kupasuka au kubomoka moja kwa moja kwa bwawa.
Hili tatizo linamhusu moja kwa moja mjenzi.
Nyufa za kwenye zege zitaongezeka ukubwa kuendana na muda au mzigo utakaoingia kama kilichosababisha hakitarekebishwa.
RIP Mfugale.Mwenda zake kafanyaje?mbona Flyover ya Ubungo haina nyufa?
Hapa January ndiyo muhusika Mkuu na Bodi yake ya TANESCO iliyojaa Bankers badala ya Engineers!
Kipara atakuja kuwa Rais wa hii nchi. Take it from me. Mtakaobeza nawakaribisha[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja