Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

Vitu vya mteremko na bei chee zina madhara makubwa sana.

Kuna dogo nae juzi kakutana na jamaa ana SAMSUNG GALAXY A83.

Dogo baada ya kuchek specs za simu na bei anayouziwa akapagawa! kakopa pesa chap 200,000/= then akampa jamaa 170k jamaa eti akadai kwa vile ana shida kubwa sana ya haraka ndio maana kakubali kuipokea hiyo hela.

Mimi nimekuta washakubaliana ndo wanalipana. Kuja kuchek ile simu vizuri nikakuta ndani ni 3G tu.

Nikamuuliza jamaa simu ni yake? akajibu yes! nikamwambia airestore! hapo ndo palikuja kuwa ishu akakataa akidai kuwa eti simu za samsung zinakuja na pasword zake ambazo hazifunguki! nikamuliza wee ulifunguaje? basi hapo tukaachana nae akapita nyumbu mwingine akapigwa 200k... huyo aliyenunua akajifanya mjuaji akairestore.. simu kuja kuwaka inadai email.

Kumbe ile simu ilikuwa ya wizi na mwenyewe akaweka mitego kwa mafundi wote.

Jamaa kupeleka simu kwa fundi akadakwa. Bahati nzuri yule aliyemuuzia kuna mtu alimfahamu.
Jisalimishe tu. As long as ushaweka line yako utadakwa tu hata ukiamua kuituma. Naamini umesajili lime kwa nida yako au ya mtu...so kukupata is inevitable...ukijipeleka inakuwa bora na ukitafuta mbinu za kujifocha unadhihirisha kuwa ulikuwa na nia ya kupoteza hiyo simu. Pole and all the best
 
Hivi unaanzaje kununua kitu kama simu mkononi kwa mtu wakati maduka yamejaa Kariakoo mpaka vichochoroni?

Assume hiyo simu mtu alidungwa kisu akaporwa,au alibakwa akaporwa kisha simu ukamatwe nayo wewe!!!

Yaani mpaka Mahakama ije ikuone hauna Hatia ya Kuua au Kubaka utakuwa umeshakaa Segerea umejaa ukurutu mpaka makalioni!!acha kabisa kununua vitu vya electronics mkononi,utakuja kubeba msalaba usio wako!!!
Sikuhizi hadi yanauza simu kwa mkopo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna dogo nae aliuziwa na mshikaji wake chuoni UDOM huu ni mwaka wa pili wamemaliza chuo,uyu dogo aliyenunua hiyo simu ana kiofisi cha maswala ya miamala (Mpesa,Tigo nk nk) yuko Morogoro...juzi yuko ofisini hana hili wala lile pila likatimba na RB moja kwa moja wakambeba mpaka Dodoma..wamemtikisa haswa na kiofisi kafunga,alikua pia na pikipiki kauza pia.kiujumla vitu used jitahidi ukae na ushahidi
 
Dah yan ata sielewi, wengine mnasema nijisalimishe polisi,,wengine niitupe.
Mi napanga kwenda polisi kuripoti laini yangu imepotea, halafu naitupa
Iko hivii kitendo cha kupiga 112 tayari ni kwamba ushakamatwa ...inshort location yako na mawasiliano ya kabla uliyofanya lazima yatakufunga tu. Ukianza kona kona ndo mwanzo wa wewe kuonekana una hatia... kumbuka tunaishi kidigitali sio ki analogia
 
Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie.

Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba.

Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea akasema yupo mbezi nije tukutane niione.

Nikakutana nae pale mbezi stendi nikaicheki cheki nikaona ipo fresh niikampa hela nikaondoka na simu.

Baada ya kuitumia kama siku mbili nikagundua ina tatizo la charge ambalo sikuligundua muda ule. Nilipojaribu kumpigia nikashangaa namba zote nilizokuwa nawasiliana naye hazipatikani.

Niliumia lakini nikakubali tu kuishi nayo hivyo hivyo, nikakubali kupigwa. Sasa kimbembe kimekuja leo asubuhi wakati naitumia hii simu nikashangaa tu mara ghafla inawasha camera na kuanza kupiga 112, halafu inapiga milio kama ya ambulance, nikawahi nikaizima.

Nimekaa nimefikiria nimeshagundua itakuwa simu ilikuwa ya wizi na mwenye nayo anaitafuta, au huenda ilikuwa ni njama ya mapolisi kunifanyia hako kamchezo.

Sasa hapa nilichofanya nimeizima, ila bado nawaza nini nifanye sasa? Maana aliyeniuzia hapatikani na hata zile message za kupatana ameshazifuta hata mimi saivi sizioni.

Nilishaona watu wanakamatwa na polisi kwa hizi njama na kulipishwa pesa mingi au kubambikiziwa kesi.

Sasa nifanyeje wakuu?
Niuzie mimi mkuu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwanza Ni simu gani?
 
Dah yan ata sielewi, wengine mnasema nijisalimishe polisi,,wengine niitupe.
Mi napanga kwenda polisi kuripoti laini yangu imepotea, halafu naitupa
Imepotea lini?
Wapi?
Hizo namba na msg ilikuwa inatumaje?
Na maeneo ambayo imekuwa ikipiga na kupigiwa ni hapo hapo kwako.
Hili halitakusaidia. Nenda kareport polisi hilo jambo.
 
Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie.

Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba.

Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea akasema yupo mbezi nije tukutane niione.

Nikakutana nae pale mbezi stendi nikaicheki cheki nikaona ipo fresh niikampa hela nikaondoka na simu.

Baada ya kuitumia kama siku mbili nikagundua ina tatizo la charge ambalo sikuligundua muda ule. Nilipojaribu kumpigia nikashangaa namba zote nilizokuwa nawasiliana naye hazipatikani.

Niliumia lakini nikakubali tu kuishi nayo hivyo hivyo, nikakubali kupigwa. Sasa kimbembe kimekuja leo asubuhi wakati naitumia hii simu nikashangaa tu mara ghafla inawasha camera na kuanza kupiga 112, halafu inapiga milio kama ya ambulance, nikawahi nikaizima.

Nimekaa nimefikiria nimeshagundua itakuwa simu ilikuwa ya wizi na mwenye nayo anaitafuta, au huenda ilikuwa ni njama ya mapolisi kunifanyia hako kamchezo.

Sasa hapa nilichofanya nimeizima, ila bado nawaza nini nifanye sasa? Maana aliyeniuzia hapatikani na hata zile message za kupatana ameshazifuta hata mimi saivi sizioni.

Nilishaona watu wanakamatwa na polisi kwa hizi njama na kulipishwa pesa mingi au kubambikiziwa kesi.

Sasa nifanyeje wakuu?
Hapa mkuu lakufanya...Ngoja nitarudi.
 
😀 😀 😀 😀 😀LAKI TENA.. yani jamaa akitaka asikumbwe na msalaa asamehee hela atupe hiyo simu akiuza hata spare litamkuta jambooo.... zinaweza mtoka hela zaidi ya alizotoa
Huyo tayari washaijua namba yake ni swala la kumuwekea mtego tu, kuna mitego kama binti mrembo anakutext mkutane kumbe ni polisi.

simu aache kuitumia aiweke kabatini tu, siku akikamatwa aepuke gharama za ziada za kumnunulia simu mpya mwenye nayo.
 
Wanunuzi wengi wa simu used wananunua kizembe sana, tunaaminiana kirahisi sana.

Mi nshauza simu 3 facebook, ila wanunuzi hawakuchukua tahadhari yeyote zaidi ya kulipa hela na kuondoka.

Hawa wachache wanafanya biashara ya mtandaoni ionekane ni utapeli na si salama wakati kiukweli imerahisisha sana mambo, mtu ukikichoka kitu unataka kubadili unapata mteja kwa haraka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku
Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie.

Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba.

Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea akasema yupo mbezi nije tukutane niione.

Nikakutana nae pale mbezi stendi nikaicheki cheki nikaona ipo fresh niikampa hela nikaondoka na simu.

Baada ya kuitumia kama siku mbili nikagundua ina tatizo la charge ambalo sikuligundua muda ule. Nilipojaribu kumpigia nikashangaa namba zote nilizokuwa nawasiliana naye hazipatikani.

Niliumia lakini nikakubali tu kuishi nayo hivyo hivyo, nikakubali kupigwa. Sasa kimbembe kimekuja leo asubuhi wakati naitumia hii simu nikashangaa tu mara ghafla inawasha camera na kuanza kupiga 112, halafu inapiga milio kama ya ambulance, nikawahi nikaizima.

Nimekaa nimefikiria nimeshagundua itakuwa simu ilikuwa ya wizi na mwenye nayo anaitafuta, au huenda ilikuwa ni njama ya mapolisi kunifanyia hako kamchezo.

Sasa hapa nilichofanya nimeizima, ila bado nawaza nini nifanye sasa? Maana aliyeniuzia hapatikani na hata zile message za kupatana ameshazifuta hata mimi saivi sizioni.

Nilishaona watu wanakamatwa na polisi kwa hizi njama na kulipishwa pesa mingi au kubambikiziwa kesi.

Sasa nifanyeje wakuu?
Patana ipi mnayotumia mbona kwangu haifungukagi siku hizi
 
Kuna Jamaa amelipishwa vitu kibao Kisa Simu ya wizi

Alikamatwa akaambiwa ndani ya nyumba kulikuwa na laptop, pesa taslim ,tv na vikorokoro kibao
Amelipa mpaka amekonda

Jihadhari
 
Hivi unaanzaje kununua kitu kama simu mkononi kwa mtu wakati maduka yamejaa Kariakoo mpaka vichochoroni?

Assume hiyo simu mtu alidungwa kisu akaporwa,au alibakwa akaporwa kisha simu ukamatwe nayo wewe!!!

Yaani mpaka Mahakama ije ikuone hauna Hatia ya Kuua au Kubaka utakuwa umeshakaa Segerea umejaa ukurutu mpaka makalioni!!acha kabisa kununua vitu vya electronics mkononi,utakuja kubeba msalaba usio wako!!!

Unajua kwamba Simu zinazoibiwa zinauzwa kariakoo?
 
Back
Top Bottom