Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

Jisalimishe tu. As long as ushaweka line yako utadakwa tu hata ukiamua kuituma. Naamini umesajili lime kwa nida yako au ya mtu...so kukupata is inevitable...ukijipeleka inakuwa bora na ukitafuta mbinu za kujifocha unadhihirisha kuwa ulikuwa na nia ya kupoteza hiyo simu. Pole and all the best
 
Sikuhizi hadi yanauza simu kwa mkopo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna dogo nae aliuziwa na mshikaji wake chuoni UDOM huu ni mwaka wa pili wamemaliza chuo,uyu dogo aliyenunua hiyo simu ana kiofisi cha maswala ya miamala (Mpesa,Tigo nk nk) yuko Morogoro...juzi yuko ofisini hana hili wala lile pila likatimba na RB moja kwa moja wakambeba mpaka Dodoma..wamemtikisa haswa na kiofisi kafunga,alikua pia na pikipiki kauza pia.kiujumla vitu used jitahidi ukae na ushahidi
 
Dah yan ata sielewi, wengine mnasema nijisalimishe polisi,,wengine niitupe.
Mi napanga kwenda polisi kuripoti laini yangu imepotea, halafu naitupa
Iko hivii kitendo cha kupiga 112 tayari ni kwamba ushakamatwa ...inshort location yako na mawasiliano ya kabla uliyofanya lazima yatakufunga tu. Ukianza kona kona ndo mwanzo wa wewe kuonekana una hatia... kumbuka tunaishi kidigitali sio ki analogia
 
Niuzie mimi mkuu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwanza Ni simu gani?
 
Dah yan ata sielewi, wengine mnasema nijisalimishe polisi,,wengine niitupe.
Mi napanga kwenda polisi kuripoti laini yangu imepotea, halafu naitupa
Imepotea lini?
Wapi?
Hizo namba na msg ilikuwa inatumaje?
Na maeneo ambayo imekuwa ikipiga na kupigiwa ni hapo hapo kwako.
Hili halitakusaidia. Nenda kareport polisi hilo jambo.
 
Hapa mkuu lakufanya...Ngoja nitarudi.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€LAKI TENA.. yani jamaa akitaka asikumbwe na msalaa asamehee hela atupe hiyo simu akiuza hata spare litamkuta jambooo.... zinaweza mtoka hela zaidi ya alizotoa
Huyo tayari washaijua namba yake ni swala la kumuwekea mtego tu, kuna mitego kama binti mrembo anakutext mkutane kumbe ni polisi.

simu aache kuitumia aiweke kabatini tu, siku akikamatwa aepuke gharama za ziada za kumnunulia simu mpya mwenye nayo.
 
Hahhahah nimecheka kama mazuri vile
Ni mtego Joanna,imewaka yenyewe ikawasha camera ikaanza kufyatua foto huku inapiga alarm 112
huyu jamaa sijui afanyeje
πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanunuzi wengi wa simu used wananunua kizembe sana, tunaaminiana kirahisi sana.

Mi nshauza simu 3 facebook, ila wanunuzi hawakuchukua tahadhari yeyote zaidi ya kulipa hela na kuondoka.

Hawa wachache wanafanya biashara ya mtandaoni ionekane ni utapeli na si salama wakati kiukweli imerahisisha sana mambo, mtu ukikichoka kitu unataka kubadili unapata mteja kwa haraka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku
Patana ipi mnayotumia mbona kwangu haifungukagi siku hizi
 
Kuna Jamaa amelipishwa vitu kibao Kisa Simu ya wizi

Alikamatwa akaambiwa ndani ya nyumba kulikuwa na laptop, pesa taslim ,tv na vikorokoro kibao
Amelipa mpaka amekonda

Jihadhari
 

Unajua kwamba Simu zinazoibiwa zinauzwa kariakoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…