Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Mama wa makamo hawezi kuwa na mawazo kama hayo!Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.
Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje.
Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.
Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.
Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.
Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
Kwann?Mshitue anapigwa huyo.. Mzigo wote unaenda kuishia kwenye mikono ya wahuni.
Sawa, tufanye ni Mimi..una ushauri gani?Mama wa makamo hawezi kuwa na mawazo kama hayo!
Huyo ni wewe...
inahitajika kama 20M, hanaKwan hawezi kwenda UK bila kuuza nyumba na kiwanja ...
Mwenye kupata?Sadaka lawe amina
Kama anaviuza ataprove vipi ubalozini kuwa atarudi bongo.Kwann?
Keshapata mtejaweka namba yake tununue uplot huo. mengine ni panapomajliwa. .
Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga menoKeshapata mteja
Anaacha familia.Kama anaviuza ataprove vipi ubalozini kuwa atarudi bongo.
Kumbe icho kilio atashirikiana na familia yake.Anaacha familia.
Kwanini mzee?Hela Haina njia rahisi kwenye kuitafuta, ni lazima uisumbukie vilivyo na uwe mvumilivu.
Awe makini anaenda kupigwa na kitu kizito
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo milioni 20 kwa UK na Marekani si itakuwa milion 200[emoji23][emoji23]inahitajika kama 20M, hana
Kwann una uhakika wa kilio? Toa sababu elezea fafanua tafadhali.Kumbe icho kilio atashirikiana na familia yake.