Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #21
Milion 20 ya kibongo iyoIyo milioni 20 kwa UK na Marekani si itakuwa milion 200[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milion 20 ya kibongo iyoIyo milioni 20 kwa UK na Marekani si itakuwa milion 200[emoji23][emoji23]
Wewe mpumbavu ina maana huoni kama unaenda kupigwa? Hapo kichwani una akili au mavi?Kwanini mzee?
Mwambie anapigwa live bila chenga.. Mwambie ili umuokoe ulaya hakuna kazi za mserereko kiasi hichoWajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.
Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje.
Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.
Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.
Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.
Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
Kazi pekee anayoweza kupata ni ya kuosha vibabu na vibibi vizee kwenye nursing homes. Mshahara ni kama USD 3,000 kwa mwezi. Sijui akikatwa kodi na kulipia pango atabaki na Tsh ngapi za kutoboaKwann una uhakika wa kilio? Toa sababu elezea fafanua tafadhali.
Ana mwenyeji UK?Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.
Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje.
Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.
Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.
Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.
Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
Ni yeye kabisa asituzuge huyo hahahaa *****Mama wa makamo hawezi kuwa na mawazo kama hayo!
Huyo ni wewe...
Kimfaacho mtu chake, kuna shida gani mtu kuuza Mali yake ili akamilishe plan nyingine?Nyumba za urithi zina shida sana angekuwa kajenga mwenyewe asingewaza huwo ujinga!
Milion 20 ya kibongo kwa US dollar ni elf 7 na 900 itapendezaIyo milioni 20 kwa UK na Marekani si itakuwa milion 200[emoji23][emoji23]
Duh!inahitajika kama 20M, hana
Apate.Mwenye kupata?
Mshauri akope asiuze nyumba ....ulaya atapata hela ila kwa jasho hakuna free money kule pia umri wake ataweza kupifa kazi 2 ? Hataweza only 1 sasa kutoboa itamchukua Muda kdg sababu bills nyingi.......Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.
Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje.
Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.
Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.
Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.
Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
Mama wa makamo hawezi kuwa na mawazo kama hayo!
Huyo ni wewe...
Keyboard ina tabia mbaya sanaKimfaacho mtu chake, kuna shida gani mtu kuuza Mali yake ili akamilishe plan nyingine?
Kila siku watu wanauza nyuma na wengine wananunuwa nyuma.
Kuna makampuni na viwanja vinauzwa wengine wananunuwa.
Bongo mtu akikwama hakuna wakumkopesha sasa akiuza asset yake kwenda kuangalia maisha mengine shida iko wapi?
Muhimu tu asikutane na Agency za wapigaji, hicho kipengere ndio pekee kinachohitaji umakini na upime Agency fee utapata ukweli.
Ziko njia za kuverify kama hiyo Agency ni genuine au mbambambaa.
Ndy kabisa mkuu 😂😂Kila siku watu wanauza nyuma na wengine wananunuwa nyuma.
Nilikuwa sijaona hii msg, huu ni Utapeli mia kwa mia.inahitajika kama 20M, hana