Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

Kazi pekee anayoweza kupata ni ya kuosha vibabu na vibibi vizee kwenye nursing homes. Mshahara ni kama USD 3,000 kwa mwezi. Sijui akikatwa kodi na kulipia pango atabaki na Tsh ngapi za kutoboa
Ndo hiyo hiyo anaenda kufanya
 
Actually hiyo agency ni ya uhakika sio mbambamba, mwenyew nimeverify
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…