Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Niwazo zuri lakini ufundi Ni utashi wa mtuHabari zenu wanajukwaa?
Ngoja nijikite kwenye lengo la uzi. Naishauri serikali sasa wabadili mwelekeo katika kuelekea serikali ya viwanda.
Vijana wanaomaliza kidato cha sita wapelekwe VETA kwa miezi 3 ili wakapate mafunzo ya awali (basic) ya ufundi mbalimbali.
Kwa kufanya hivi itasaidia kuwaandaa vijana wenye ujuzi mbalimbali mitaani. Kuna kozi nyingi tu ambazo kijana akizipata kwa miezi 3 anaweza kuamka na kujiajiri au hata kuajirika as general helper au fundi mwanafunzi.
Binafsi nimepitia JKT Mujibu wa sheria Ruvu na nilibahatika kupata ajira kupitia gamba la JKT ila wenzangu wengi wamemaliza digrii na hawana kazi mitaani.
Serikali inatumia kiasi kikubwa sana kumrecruit kijana mmoja wa jkt kwa miezi 3 au 6. Ile fedha ingetosha kumlipia ada VETA na akimaliza miezi 3 akapewa kamtaji.
Viongozi natumaini mtalitendea kazi suala hili.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii vita unayoianzisha mkuu sijui kama utaiwezaWazo zuri. Hata wanaotoka university miaka hii wapelekwe VETA walau wawekwe kitu kichwani...nafikiri nimeeleweka [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani jeshi ni utashi wa vijana wote?Niwazo zuri lakini ufundi Ni utashi wa mtu
Mbona waliwabania sana kwenye mambo ya silaha hususani bunduki?Kjt tulilima kwa jembe la mkono ambalo hata kabla ya kwenda huko jkt tulikua tunajua kuyatumia hasa wale tuliosoma shule za serikali msingi hadi kidato haya majembe tunayajua sana, makwanja sijui kotama yote tunayajua. Juzi nimepewa trekta nitest kulima aseee limenishinda nikakumbuka kule jkt kuna matrekta lakin wadereva walikua wanajeshi wenyewe hata wale wa kujitolea sijui service men walikua hawapewi kuendesha matrekta.
Malori na magari mengine kule yapo sana tu lakini wote tulioenda tukiwa hatujui kuendesha magari tulirudi na ujinga wetu hivyohivyo.
Kuna makuku kule yapo manguruwe na mang,mbe kibao lakini hatukufundishwa la maana kuhusu ufugaji badala yake tukawa wasafisha mabanda ya mifugo hiyo!!!
Nimekaa jkt miezi 3 lakini bunduki niliigusa kwa mda wa dakika zisizozidi 15!!!
Uzalendo niliofundishwa siukumbuki maana muda wote ni mchakamchaka kule.
Mtoa maada wazo lako walicheki asee
Brilliant idea.Habari zenu wanajukwaa?