Mleta mada unataka ugovi na watu JKT ni vichaka vya upigaji pesa watu uko, watu wanajenga majumba wanabadili magari kwa uwepo wa kozi za JKT kuanzia wizarani mpaka makambini uko,
Zabuni za vyakula, miradi mbali mbali ya kilimo iliyopo kwenye makambi ya JKT wanaofaidika ni maboss not jamii au hao vijana
Serikali unatumia pesa nyingi sana, kuwalisha, kuwalipa posho zao kwaiyo ukifuatilia ni hasara tupu hakuna kitu na ndio maana mh mkapa alistopishaga hii JKT akaacha vyombo vya ulinzi na usalama viajiri moja kwa moja kutoka mtaani unaenda mafunzo ya kijeshi kwisha habari
Leo hii kijana anapiga JKT anaitia serikali hasara hapo hapo chombo cha ulinzi na usalama kimimuhitaji anaenda tena kozi nini sasa sikuchezea pesa
Mh rais futa hii kitu hizo kambi ziendelee kubaki hivyo hivyo for emergency
Elimu bure ifanyiwe marekebisho baada ya kijana kuhitimu kidato cha nne, uongezwe mwaka mmoja katika hizi hizi shule za kata yawepo mafunzo ya ufundi so kijana akimaliza kidato cha nne anapiga paper matokeo hayatoki mpaka afanye mitihani wa ufundi yanajumuishwa ndio yanatoka na yakitoka kafauru basi aende chuo kikuu moja kwa moja hii form five na six ifutwe