Kasomeko
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 627
- 1,215
Ndio huo wakufundishwa miezi mitatu??
km hujapitia JKT hujui uzalendo, wengi wanaamini ni kutunza pesa, mafaili nk
Nchi nyingi km ISRAEL, China, North Korea vijana lazima wapitie Nation service
ukiwa mzalendo huwezi vaa mafulana ya Nchi za wenzako iwe kisiasa hata kimichezo, Mtanzania anaifia kabisa USA au Manchester United
Ikitokeea vita mwanamume unakimbilia chumbani kujifica na mama yako na kina dada wanakuja kubakwa na wewe pia.
Mwanamume / Mwanamke wa JKT atatoka na kujiunga na askari wa akiba kumzuia adui asifike ndani ya mipaka.
Mzalendo hawezi toa siri za Nchi kwa mataifa mengine
Uzalendo ni mpana sio wa kuzuia wizi ktk mabenki na sokoni