Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

Plumbing
Welding(Sio kwa 50% na kuendelea)
Electrical ((Sio kwa 50% na kuendelea)
Hizo kozi sio rahisi hivyo ukafundishwa kwa miezi3 au 6 ukaelewa mwisho wa siku huyu Mtu atatoka hata hajui hata usalama, umuhimu wa kuweka mazingira safi na salama, mbinu za kujiajiri nk, maana VETA hapo awali ilikuwa ni mwaka1 lakini 2010 walibadili utaratibu wa miaka3 na masomo kama sikosei yalikuwa11 pamoja na hilo la fani na iliwajengea namna nzuri ya kuweza kuuzika katika soko la ajira
 
. Sasa wanapiga two years yaani level one na two. Mkuu kama plumbing kijana anakua vizuri akiwa serious na maisha. Nimeshakutana na vijana wa veta ktk mizunguko yangu wanajitahidi kwa namna Fulani ila wanakariri sana
 
Muda Mwingine Uwa Nikifikilia Kuhusu Maamuzi Ya Viongozi Wetu Naona Kama Ile Wanayosema Hekima Aitumiki Katika Maamuzi Yao.

Ili Ni Moja Ya Wazo Bora Kabisa hapa Jamii Forum.
Ila Utekelezaji Wake Ata Kama Litawafikia Viongozi..Utekelezaji Wake Utakua na Longo Longo nyingi Sana ili lifanikiwe,Hii Ni kwasababu Tayari Mfumo ule Wa JKT Kwa Mujibu Ni Mradi Wa Watu..wanaji ingizia kipato Kupitia Mambo Kama Ayo.
Sasa yanapokuja Mawazo Mbadala Kama Aya,Ni Kama Unakwisha Uraji wa Mtu Hapa.

Wazo Lako Limekaa Vyema.Sema utekelezaji Wake..Itachukua Muda sana.Maana Mfumo Tayari watu wameutengeneza Kinamna
 
Muda Mwingine Uwa Nikifikilia Kuhusu Maamuzi Ya Viongozi Wetu Naona Kama Ile Wanayosema Hekima Aitumiki Katika Maamuzi Yao.

Ili Ni Moja Ya Wazo Bora Kabisa hapa Jamii Forum,Ila Utekelezaji Wake Ata Kama Limewafikia Viongozi..Utekelezaji Wake Utachukua Longo Longo Sana Hii Ni kwasababu Tayari Mfumo Wa JKT Kwa Mujibu Ni Mradi Wa Wakuu..wanapiga Pesa Kupitia Mambo Kama Aya.Fungu Kubwa Tu Linategwa Kwa Ajiri Ya Hizi project za Mujibu wa Sheria.

Wazo Lako Limekaa Vyema.Sema utekelezaji Wake..Itachukua Muda sana.Maana Mfumo Tayari watu Wanapiga Pesa Kwa Mradi Huu Wa mujibu wa Sheria.
. JKT Wamekosa ubunifu kwa vijana wa mujibu. Ilitakiwa mtu ukitoka pale unaona kuna kipya umepata sio kuna na recognition yao ile.
 
. Sasa wanapiga two years yaani level one na two. Mkuu kama plumbing kijana anakua vizuri akiwa serious na maisha. Nimeshakutana na vijana wa veta ktk mizunguko yangu wanajitahidi kwa namna Fulani ila wanakariri sana
Yeah! Lakini sio kwa miezi3 maana pale huwa wanafundishwa mpk mambo ya Self esteem, Communication skills, Entrepreneur nk sasa haya nayo ni masomo ambayo akitoka anakuwa bora hata katika ushindani wa ajira
 
Vipi kwa form four wale wanakaa mtaa miezi kama sita nadhani ingependeza sana na ingeleta ushindani ktk ubunifu na kufufua vipaji ktk fani tofauti tofauti
 
Wazo zuri lakini, nina wasi wasi kama serikali itakuwa tayari kulipa gharama za mafunzo, ambazo kimsingi ni kubwa ukilinganisha na kupigaa kwata!
 
Vipi kwa form four wale wanakaa mtaa miezi kama sita nadhani ingependeza sana na ingeleta ushindani ktk ubunifu na kufufua vipaji ktk fani tofauti tofauti
Binafsi nathamini sana Watu wanaotoka VETA na wengi nawaona sana migodini na performance zao zipo standard sana sio wa Industrial Electricity, Heavy Duty machines, Mechanics nk, wana nidhamu na kazi na wanajua kazi kwa vitendo na sio za kwenye makaratasi
 
wako vyema Mkuu. Ukimwambia hichi kipo hivi ana catch haraka sana. Umenikumbusha field yangu moja Director wa kampuni moja alinambia toa elimu ya kwenye makaratasi hapa
 
Binafsi nathamini sana Watu wanaotoka VETA na wengi nawaona sana migodini na performance zao zipo standard sana sio wa Industrial Electricity, Heavy Duty machines, Mechanics nk, wana nidhamu na kazi na wanajua kazi kwa vitendo na sio za kwenye makaratasi
. Ukiwa na team yao ni wasikivu pia.
 
Nendeni JKT mkajifunze utii na ujenzi wa Taifa...

Unataka ujifunze ufundi mchundo, ilihali wajiandaa kusoma digrii?

Hiyo mitaala ya Veta watu walitakiwa wafunzwe wakiwa elimu ya msingi na sekondari...

Sasa we kijana mzima umemaliza kidato cha sita wataka ukafunzwe kufuma vitambaa, kupaka rangi...
 
Kuna kitu mtoa mada hajakiangalia,

Mtu anayemaliza VETA anakuwa ana elimu sawa na NTA Level 4, na hapo amesoma kwa zaidi ya miezi 3 (ya jeshi).Swala la ufundi inapaswa liweke moja kwa moja kwenye mitaala yetu ya shule
 
Wazo zuri,ila mimi naona muda urudishwe ule wa awali wa mwaka mmoja ikiwa ni pamoja na mafunzo ya stadi za kazi(VETA)
Hilo nalikubali warejeshe mafunzo ya JKT mwaka mmoja ile miezi 6 ya service ilikuwa ni VETA kabisa, Kilimo, useremal, ufundi ujenzi, ufundi magari nk
lkn kuniambia masomo ya VETA yale Elementary kabisa No naona km ya darasa la 7 au Ufundi
Mwisho mtataka Civil eng, DIT, nk wakarudie kufyatua tofali za udongo wakati walisha advance concrete hasa ni ipi
 
JKT sio uzalendo,kuna watu wengi tu wamepitia huko lakini ni wezi na wahujumu uchumi wakubwa serikalini!!
km hujapitia JKT hujui uzalendo, wengi wanaamini ni kutunza pesa, mafaili nk
Nchi nyingi km ISRAEL, China, North Korea vijana lazima wapitie Nation service
ukiwa mzalendo huwezi vaa mafulana ya Nchi za wenzako iwe kisiasa hata kimichezo, Mtanzania anaifia kabisa USA au Manchester United
Ikitokeea vita mwanamume unakimbilia chumbani kujifica na mama yako na kina dada wanakuja kubakwa na wewe pia.
Mwanamume / Mwanamke wa JKT atatoka na kujiunga na askari wa akiba kumzuia adui asifike ndani ya mipaka.
Mzalendo hawezi toa siri za Nchi kwa mataifa mengine
Uzalendo ni mpana sio wa kuzuia wizi ktk mabenki na sokoni
 
Back
Top Bottom