Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Sawa kama nilivyowaza.Kambi ziwe VETA itakua rahisi zaidi.
Tumuombe Mh.Rais kama ataona inafaa atoe maelekezo ili VETA iwe ni kitengo cha JKT kwa muktada wa mafunzo ya fields.
Sawa kama nilivyowaza.Kambi ziwe VETA itakua rahisi zaidi.
Thanks so much.Your a Great Thinker.
Be blessed forever.
Kwani kila mtu ambae amechaguliwa JKT ana mwamko wa JKT But this idea ni bora zaid kuliko kwenda kule na kupotezewa mda ambapo ukirudi mtaani baada ya mwaka miezi tu ushaingia chuo unasahau ata ule ukakamavuKwa maoni yako hujakosea lakini hakuna nchi duniani ambayo inampeleka kijana wake kwenye kujitolea bure bure bila kuwa mtizamo wa mbeleni. Kuhusu kupelekwa veta si kila mtu akili yake ina mwamko wa ufundi.
Kusahau ukakamavu sii shida ukikumbushwa tu unarudi juu ya mstari kuuliko kupewa mzigo wa ujuzi ambao hutokwenda kuutumia, ni sawa na kuchukua gunia la chumvi na kulitumbukiza baharini.
Hilo jeshi la akiba linaweza pambana na Al-Shabab au ISS au boko haramu? Wazungu wenyewe kamasi zinawatoka miaka na miaka sasa bado wapo vitani dhidi ya Al-kaida na vita haijaisha.Tuache kudanganyana hapa JF.Umetazama fact moja na kutoa conclusion hebu tazama kwa mtazamo wa kiusalama pia wacha watoto waende veta wacha wengine waende JKT kila sehemu ina umuhimu wake kumbuka hilo ni jeshi la akiba pia vijana wanaokwenda JKT ni sehemu ndogo sana ya vijana wanaomaliza form six
Habari zenu wanajukwaa?
Ngoja nijikite kwenye lengo la uzi. Naishauri Serikali sasa wabadili mwelekeo katika kuelekea Serikali ya viwanda.
Vijana wanaomaliza kidato cha sita wapelekwe VETA kwa miezi 3 ili wakapate mafunzo ya awali (basic) ya ufundi mbalimbali.
Kwa kufanya hivi itasaidia kuwaandaa vijana wenye ujuzi mbalimbali mitaani. Kuna kozi nyingi tu ambazo kijana akizipata kwa miezi 3 anaweza kuamka na kujiajiri au hata kuajirika as general helper au fundi mwanafunzi.
Binafsi nimepitia JKT Mujibu wa sheria Ruvu na nilibahatika kupata ajira kupitia gamba la JKT ila wenzangu wengi wamemaliza digrii na hawana kazi mitaani.
Serikali inatumia kiasi kikubwa sana kumrecruit kijana mmoja wa jkt kwa miezi 3 au 6. Ile fedha ingetosha kumlipia ada VETA na akimaliza miezi 3 akapewa kamtaji.
Viongozi natumaini mtalitendea kazi suala hili.
ndugu yangu umetoa wazo bora kabisa mpaka jf wenyewe wameamua kulitumia kwenye page yao huko fb kpngore mkuu...Kwani jeshi ni utashi wa vijana wote?
Wanapelekwa kwa mujibu wa sheria na huko VETA wapelekwe kwa mujibu wa sheria. Siku amemaliza university hana pa kushika atatua kile alichopewa VETA.
R.H.S=L.H.SKipi rahisi?
VETA zote zigeuzwe KAMBI ZA JKT? ama KAMBI ZA JKT zote zigeuzwe VETA?
Mtizamo wa mbeleni nini?Kwa maoni yako hujakosea lakini hakuna nchi duniani ambayo inampeleka kijana wake kwenye kujitolea bure bure bila kuwa mtizamo wa mbeleni. Kuhusu kupelekwa veta si kila mtu akili yake ina mwamko wa ufundi.
Pamoja chief, tutaufufua Uzi huu jambo hili likifika bungeni.we jamaa unastahili tuzo, hili wazo lisiishie hapa, tuone ni namna gani tuna lipush mpaka liwe muswada
Hebu itag serikali ili wausome huu uziSerikali iwe inapitia huku na kuchukua mawazo ya kujenga kama haya na kuyafanyia kazi,hii ndio faida ya uhuru wa kujieleza sio kuzibana midomo kwa sheria kandamizi.