matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF.
Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado kuna mashaka nashauri wanaopenda wakafanye vibarua tu hukohuko Malinyi, Mpanda na mwenye mashamba ya nchini.
Sababu ya hofu yangu.
1: Israel kwa sasa imeongeza maadui wengi hivyo rahisi kuwa targeted kutokea angle yoyote.
2: Tumeona silaha nyingi za magharibi walizowauzia Ukraine kupitia Black market zimetapakaa hadi kwa magaidi wa Hamas. Hivyo wanaweza kupigwa na kitu kizito muda wowote.
3: Tetesi ya leo kuwa Hypersonic Missile ya Hesbullah imelipua batteries mbili za Iron Dome. Kitu ambacho hakuna mwarabu aliwahi kufanikiwa tangu zibuniwe. Ni ishara sasa wenda nchi hiyo sio salama sana.
4: Kitendo cha mtanzania mwenzetu kutrend dunia nzima siku hizi mbili akiuwawa na magaidi huku wakijua fika sio myahudi pia kinatutaka kuongeza umakini wa kiutafiti kbla hatujaruhusu watu wetu kusogea huko hasa kusini mwa israel.
5: Kitendo cha Mossad kushindwa kugundua hatari kubwa kama ile ya tarehe 7, kinatia shaka uwezo wa nchi hiyo kujisimamia kiintellijensia. Hivyo kuna haja ya kujiridhisha sana kabla hatujapeleka vibarua wa mashambani.
Hata sisi watumishi wa Mungu tunaopenda kwenda kuchunguza maandiko kwa vitendo kwa uchunguzi huu butu ambao haujaongozwa na roho mtakatifu kuna haja ya kusoma upepo kidogo.
Ni hayo tu.