USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Kwahiyo msg zetu ndiyo umekuja kuziweka huku?
 
Umeandika Sana Ila Ukweli Olewa Na Wa Imani Yako Ili Family Yako Itulie
Haya Mambo Huyu Anapiga Dufu, Mwingine Pambio Siyo Nzuri
Hao Watoto Mfano Mkipata Yatakuwa Yale Yale Ijumaa Aende Jumapili Aende


TULIZANA WEKA MAKINI YAKO
 
Mwamini Yesu uokoke uanze maisha mapya pamoja na Mungu!
 
Hivi mnasomaga ili Nini chuo ulifata nini Kama hujielewi Bado ? Yani wewe na wazazio naona Kuna kitu hakipo sawa, Yani msioane sababu ya ujinga wenu dini hizi tumeletewa na wewe unaachana na una mpenda mnapendana kisa wazazi ..Yani nakufika chuo bado unapangiwa Cha kufanya?


By the way chat zenu pia za kitoto wote hamjakua
 
yani hadi nakuonea huruma ciccy, naona lile tukio limekuharibu kisaikolojia. lakini bado una nafasi jaribu kufungua moyo saiv kwa mtu ambaye uko nae ๐Ÿคจ
Najitahid sana yaani mamaangu aliwatuma watu wanishauri lakini ninahofu Yani likiwa kwenye utani nafurahi kabisa naweza Kwa furaha likija official napata presha naweza hata kuharisha๐Ÿ˜ญ
 
Polesana umekasirika ๐Ÿ˜Œ
Masuala ya familia mapana sana Walielezea sabbu ya kufanya hivo baad yamuda kidogo
 
Najitahid sana yaani mamaangu aliwatuma watu wanishauri lakini ninahofu Yani likiwa kwenye utani nafurahi kabisa naweza Kwa furaha likija official napata presha naweza hata kuharisha๐Ÿ˜ญ
omba sana Mungu, unaweza kutafuta wataalamu wa kisaikolojia pia..hope kila kitu kitakua sawa coz ukiexpress tatizo kama hivi linakua half solved..All the best ๐Ÿ™๐Ÿผ
 
weeee๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ, huku mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ