USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka mipango ya Kuishi pamoja akanitambulisha Kwa ndugu zake familia Ile ilinipenda sana nae akatuma watu waje kwetu kijitambulisha hatua zingine zifate wakat huo Mimi nilikuwa sijapata kazi Bado

Kilichotokea familia yangu ikakataa kupokea mahali kwasabbu ya utofaut wa kiimani wakasema watupe mda tujadiliane namna gani tutaoana Lilikuwa jambo gumu sana kulielewa,nakumbuka Ilikuwa sikunya kwanza kwenye maishayangu kuliq barabarani [emoji24]
nanhata nduguzake hasa babaake alikuwa mkali mno hakuridhika na maamuzi yale mzozo ukaanza mwisho ukaibuka ugomvi uliodumu Kwa muda

Baada ya mwez hivi Mpenz wangu akapata ajali ya gari lakn hakuumia sana,ikaonekana sabbu alikuwa na stress, ugomvi ukaanza upya hakuna alietaka kumuelewa mwenzie kati ya familia zetu finally tukaamua tuvunje mahusiano.

Tangu wkat huo ni miaka mingi imepita kilamtu akaamua Kuishi maishayake lakini baadhi ya nduguzake Bado walikuwa wananisupprt sana hasa dadazake
Kwa upandewangu
Sijawahi Tena kukubali mwanaume aje kunichumbia kwetu licha ya kuwa nimekuwa na mahusiano mar kadhaa Nina uoga kupita kiasi na marazote ikitokea najihis kukosa amani kabisa

Kuna wakati napuuzia mawazo yangu lakini akitokea mtu kwaajili ya Hilo napata presha mno na naweza nikapata hata homa nikianza kufikiria kumruhusu mtu awe mchumba then tuonane
Nikaamua nijipe mda wa miez sita nichange akiliyangu lakin kusema ndio hata kwa nilienae kwenye mahusiano nimekuwa siwez napiga tu kalenda mwisho tunaishia kugombana na kuachana
Sijawahi chagua wanaume maybe wa hali flani sabbu mm mwenyew nimezaliwa kwenye familia ya kawaida tu lkni linanishinda

Kiukweli nakutana na wanaume wema na wenye Nia ya dhati kabisa na nilifikiria Sion kasoro zao lakni nimekuwaje sijui Nina uoga Nina presha ambayo nashindwa kuimanage
Kunawkat nafikiria kuhus familia na naamini sana kuwa ndoa ni kitu kizuri likija sualla likija mezani hali inabadilika kabisa Kilasiku nasema kesho

Pia nimekuwa mtu wa hasira sana Kwa vitu vidogo Yani naweza kukasirishwa na kitu ambacho badae nikifikiria Huwa sioni sabbu ya kwanini nilikuwa na hasira nacho lakin Inakuwa imeshatokea hili nalo linanitesa sana

Sina mahusiano Tena na yule wa mwanzo kilamtu na maishayake Kwa Sasa

Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,naheshimu watu Hawa ila nitaiweka chat hamchelew kusema ni chai
Kwahiyo msg zetu ndiyo umekuja kuziweka huku?
 
Umeandika Sana Ila Ukweli Olewa Na Wa Imani Yako Ili Family Yako Itulie
Haya Mambo Huyu Anapiga Dufu, Mwingine Pambio Siyo Nzuri
Hao Watoto Mfano Mkipata Yatakuwa Yale Yale Ijumaa Aende Jumapili Aende

TULIZANA WEKA MAKINI YAKO
 
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka mipango ya Kuishi pamoja akanitambulisha Kwa ndugu zake familia Ile ilinipenda sana nae akatuma watu waje kwetu kijitambulisha hatua zingine zifate wakat huo Mimi nilikuwa sijapata kazi Bado

Kilichotokea familia yangu ikakataa kupokea mahali kwasabbu ya utofaut wa kiimani wakasema watupe mda tujadiliane namna gani tutaoana Lilikuwa jambo gumu sana kulielewa,nakumbuka Ilikuwa sikunya kwanza kwenye maishayangu kuliq barabarani 😭
nanhata nduguzake hasa babaake alikuwa mkali mno hakuridhika na maamuzi yale mzozo ukaanza mwisho ukaibuka ugomvi uliodumu Kwa muda

Baada ya mwez hivi Mpenz wangu akapata ajali ya gari lakn hakuumia sana,ikaonekana sabbu alikuwa na stress, ugomvi ukaanza upya hakuna alietaka kumuelewa mwenzie kati ya familia zetu finally tukaamua tuvunje mahusiano.

Tangu wkat huo ni miaka mingi imepita kilamtu akaamua Kuishi maishayake lakini baadhi ya nduguzake Bado walikuwa wananisupprt sana hasa dadazake
Kwa upandewangu
Sijawahi Tena kukubali mwanaume aje kunichumbia kwetu licha ya kuwa nimekuwa na mahusiano mar kadhaa Nina uoga kupita kiasi na marazote ikitokea najihis kukosa amani kabisa

Kuna wakati napuuzia mawazo yangu lakini akitokea mtu kwaajili ya Hilo napata presha mno na naweza nikapata hata homa nikianza kufikiria kumruhusu mtu awe mchumba then tuonane
Nikaamua nijipe mda wa miez sita nichange akiliyangu lakin kusema ndio hata kwa nilienae kwenye mahusiano nimekuwa siwez napiga tu kalenda mwisho tunaishia kugombana na kuachana
Sijawahi chagua wanaume maybe wa hali flani sabbu mm mwenyew nimezaliwa kwenye familia ya kawaida tu lkni linanishinda

Kiukweli nakutana na wanaume wema na wenye Nia ya dhati kabisa na nilifikiria Sion kasoro zao lakni nimekuwaje sijui Nina uoga Nina presha ambayo nashindwa kuimanage
Kunawkat nafikiria kuhus familia na naamini sana kuwa ndoa ni kitu kizuri likija sualla likija mezani hali inabadilika kabisa Kilasiku nasema kesho

Pia nimekuwa mtu wa hasira sana Kwa vitu vidogo Yani naweza kukasirishwa na kitu ambacho badae nikifikiria Huwa sioni sabbu ya kwanini nilikuwa na hasira nacho lakin Inakuwa imeshatokea hili nalo linanitesa sana

Sina mahusiano Tena na yule wa mwanzo kilamtu na maishayake Kwa Sasa

Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,naheshimu watu Hawa ila nitaiweka chat hamchelew kusema ni chai
Mwamini Yesu uokoke uanze maisha mapya pamoja na Mungu!
 
Hivi mnasomaga ili Nini chuo ulifata nini Kama hujielewi Bado ? Yani wewe na wazazio naona Kuna kitu hakipo sawa, Yani msioane sababu ya ujinga wenu dini hizi tumeletewa na wewe unaachana na una mpenda mnapendana kisa wazazi ..Yani nakufika chuo bado unapangiwa Cha kufanya?

By the way chat zenu pia za kitoto wote hamjakua
 
yani hadi nakuonea huruma ciccy, naona lile tukio limekuharibu kisaikolojia. lakini bado una nafasi jaribu kufungua moyo saiv kwa mtu ambaye uko nae 🤨
Najitahid sana yaani mamaangu aliwatuma watu wanishauri lakini ninahofu Yani likiwa kwenye utani nafurahi kabisa naweza Kwa furaha likija official napata presha naweza hata kuharisha😭
 
Hivi mnasomaga ili Nini chuo ulifata nini Kama hujielewi Bado ? Yani wewe na wazazio naona Kuna kitu hakipo sawa, Yani msioane sababu ya ujinga wenu dini hizi tumeletewa na wewe unaachana na una mpenda mnapendana kisa wazazi ..Yani nakufika chuo bado unapangiwa Cha kufanya?

By the way chat zenu pia za kitoto wote hamjakua
Polesana umekasirika 😌
Masuala ya familia mapana sana Walielezea sabbu ya kufanya hivo baad yamuda kidogo
 
Najitahid sana yaani mamaangu aliwatuma watu wanishauri lakini ninahofu Yani likiwa kwenye utani nafurahi kabisa naweza Kwa furaha likija official napata presha naweza hata kuharisha😭
omba sana Mungu, unaweza kutafuta wataalamu wa kisaikolojia pia..hope kila kitu kitakua sawa coz ukiexpress tatizo kama hivi linakua half solved..All the best 🙏🏼
 
Natumaini wazima
Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana
Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka mipango ya Kuishi pamoja akanitambulisha Kwa ndugu zake familia Ile ilinipenda sana nae akatuma watu waje kwetu kijitambulisha hatua zingine zifate wakat huo Mimi nilikuwa sijapata kazi Bado

Kilichotokea familia yangu ikakataa kupokea mahali kwasabbu ya utofaut wa kiimani wakasema watupe mda tujadiliane namna gani tutaoana Lilikuwa jambo gumu sana kulielewa,nakumbuka Ilikuwa mara kwanza kwenye maishayangu kuliq barabarani 😭
nanhata nduguzake hasa babaake alikuwa mkali mno hakuridhika na maamuzi yale mzozo ukaanza mwisho ukaibuka ugomvi uliodumu Kwa muda

Baada ya mwez hivi Mpenz wangu akapata ajali ya gari lakn hakuumia sana,ikaonekana sabbu alikuwa na stress, ugomvi ukaanza upya hakuna alietaka kumuelewa mwenzie kati ya familia zetu finally tukaamua tuvunje mahusiano.

Tangu wkat huo ni miaka mingi imepita kilamtu akaamua Kuishi maishayake lakini baadhi ya nduguzake Bado walikuwa wananisupprt sana hasa dadazake
Kwa upandewangu
Sijawahi Tena kukubali mwanaume aje kunichumbia kwetu licha ya kuwa nimekuwa na mahusiano mar kadhaa Nina uoga kupita kiasi na marazote ikitokea najihis kukosa amani kabisa

Kuna wakati napuuzia mawazo yangu lakini akitokea mtu kwaajili ya Hilo napata presha mno na naweza nikapata hata homa nikianza kufikiria kumruhusu mtu awe mchumba then tuonane
Nikaamua nijipe mda wa miez sita nichange akiliyangu lakin kusema ndio hata kwa nilienae kwenye mahusiano nimekuwa siwez napiga tu kalenda mwisho tunaishia kugombana na kuachana
Sijawahi chagua wanaume maybe wa hali flani sabbu mm mwenyew nimezaliwa kwenye familia ya kawaida tu lkni linanishinda

Kiukweli nakutana na wanaume wema na wenye Nia ya dhati kabisa na nilifikiria Sion kasoro zao lakni nimekuwaje sijui Nina uoga Nina presha ambayo nashindwa kuimanage
Kunawkat nafikiria kuhus familia na naamini sana kuwa ndoa ni kitu kizuri likija sualla likija mezani hali inabadilika kabisa Kilasiku nasema kesho

Pia nimekuwa mtu wa hasira sana Kwa vitu vidogo Yani naweza kukasirishwa na kitu ambacho badae nikifikiria Huwa sioni sabbu ya kwanini nilikuwa na hasira nacho lakin Inakuwa imeshatokea hili nalo linanitesa sana

Sina mahusiano Tena na yule wa mwanzo kilamtu na maishayake Kwa Sasa

Hebu mnisaidie mdogowenu
NB,naomba nishauriwe Kwa staha pia sitafuti mume,naheshimu watu Hawa ila nitaiweka chat hamchelew kusema ni chai
weeee😮😮😮😮, huku mbali.
 
Back
Top Bottom