Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

Duh.! Mama na mtoto watibiwe bure tena? Tunarudi kwenye ujamaa kamili wa kukamua watafutaji kodi za damu ili wanaozaa bila kujiandaa wapewe kila kitu bure?
Ndo hivyo kuna wamejaa makamasi kichwani .yaani nikatwe kodi ile mvivu flani atibiwe bure hiyo haitakubalika ni lazima anayepewa bima achangia ili one umuhim wake na kuiheshimu
 
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.

Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi ngapi.

Halafu iangaliwe huduma ya mama na mtoto huwa inagharimu shilingi ngapi, zipelekwe huko. Mama mjamzito, mama aliyejifungua na mtoto, wapewe huduma bure. Pia mtoto yeyote anayelazwa apewe huduma bure pamoja na wazee.

Wataalamu wakae wafanye tathmini ya makadirio ya gharama hizo. Hii inaweza kugusa huduma maalum za matibabu ya moyo kwa watoto. Hii itampa nafuu Malisa kuchangisha watu huko mitandaoni, na pia ugonjwa hauna chama.

Wanaume tukisaidiwa gharama za kuwatibu mke na mtoto, sisi tutajitibu wenyewe
Naunga mkono hoja
 
Wataanza kununulia mashangigi ya kufanyia hizo shughuli kabla ya shughuli zenyewe...
 
Tozo hazijawatosha kununua viieite, unataka kuwapa chanzo kingine ili waagize yutongu nyingine mia moja mbali na zile 60 tulizodokezwa humu jamvini?
 
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.

Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi ngapi.

Halafu iangaliwe huduma ya mama na mtoto huwa inagharimu shilingi ngapi, zipelekwe huko. Mama mjamzito, mama aliyejifungua na mtoto, wapewe huduma bure. Pia mtoto yeyote anayelazwa apewe huduma bure pamoja na wazee.

Wataalamu wakae wafanye tathmini ya makadirio ya gharama hizo. Hii inaweza kugusa huduma maalum za matibabu ya moyo kwa watoto. Hii itampa nafuu Malisa kuchangisha watu huko mitandaoni, na pia ugonjwa hauna chama.

Wanaume tukisaidiwa gharama za kuwatibu mke na mtoto, sisi tutajitibu wenyewe
We chizi nini.. Yaani fegi tuvute sisi. Madhara tupate sisi.. Halafu kutibiwa watibiwe wake zenu..😃😃😃😃
 
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.

Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi ngapi.

Halafu iangaliwe huduma ya mama na mtoto huwa inagharimu shilingi ngapi, zipelekwe huko. Mama mjamzito, mama aliyejifungua na mtoto, wapewe huduma bure. Pia mtoto yeyote anayelazwa apewe huduma bure pamoja na wazee.

Wataalamu wakae wafanye tathmini ya makadirio ya gharama hizo. Hii inaweza kugusa huduma maalum za matibabu ya moyo kwa watoto. Hii itampa nafuu Malisa kuchangisha watu huko mitandaoni, na pia ugonjwa hauna chama.

Wanaume tukisaidiwa gharama za kuwatibu mke na mtoto, sisi tutajitibu wenyewe

Hili neno tozo linatumika vibaya Sana. Kila mtu anajisikia kusema lolote. Serikali imeshindwa kuisimamia NHIF mpaka inakaribia kufa ndio ije isimamie mambo mengine.
 
Ndo maana tunalilia katiba mpya haya mambo yatapotea tu!
Raisi ana access na hayo mashirika yote ya jamii na akikohoa tu , hamna wa kumzuia ., nhif nssf n.k hazitakiwi kukosa pesa kwa sababu zina michango ya pesa za wafanyakazi kwa asilimia kubwa .
 
Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba.

Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi ngapi.

Halafu iangaliwe huduma ya mama na mtoto huwa inagharimu shilingi ngapi, zipelekwe huko. Mama mjamzito, mama aliyejifungua na mtoto, wapewe huduma bure. Pia mtoto yeyote anayelazwa apewe huduma bure pamoja na wazee.

Wataalamu wakae wafanye tathmini ya makadirio ya gharama hizo. Hii inaweza kugusa huduma maalum za matibabu ya moyo kwa watoto. Hii itampa nafuu Malisa kuchangisha watu huko mitandaoni, na pia ugonjwa hauna chama.

Wanaume tukisaidiwa gharama za kuwatibu mke na mtoto, sisi tutajitibu wenyewe
We fala wenzio wananunua LC 300 kupitia makodi na matozo....wanakula raha.....shauri yako
 
unataka serikali iwe chuma ulete.

waambie wakomaze vichwa kuifanya nchi na watu wake kuwa productive, low productivity ndio inaleta shida yote hii.

put more people in production by investing in people heads and becoming skilled workforce, investing well enough in resources by pumping more money in financing projects for resources utilization, build lots of irrigation schemes, import some aggriculture experts from all around together with agriculture mechanization.

eneo poli la mkuranga lingeweza kutoa ajira kwa vijana woote wanaozururazurura hovyo Dar es salaam na kujiita wamachinga wakifanya uchuuzi na hawa bodaboda mnaojidanganya nazo ni ajira na hawa wangetosha kabisa kuufanga uwanja wa ndege wa Dar es salaam kuwa busy kwa kusafirisha mazao ya kilimo refrigerated to europe and america daily
 
Haiwezekeni leo hii eti ule ukanda kuanzia Mbeya mpaka njombe na baridi ile eti kukawa na jamii masikini huku ardhi ikiwa bikira kabisa na kuuubwa ya kutosha.

Lile eneo lilitosha kabisa kuifanya nyanda za juu kusini kuwa tajiri na kuwa inakaliwa na watu matajiri kupata kutokea Africa kupitia kilimo na uwanja wa kimataifa wa songwe ungekuwa busy balaa.
 
Yale makaa ya mawe kuanzia kule Lwanda, kitai, mpaka mchuchuma, ile graphite ya Lindi na Ruangwa ilitosha kabisa kuifanya bandari ya Mtwara kuwa moja ya bandari iliyo busy with the south corridor rail network iliyobusy kwa wagons kusafirisha makaa na graphite.
 
Leo mnasimama mnashangilia uchumi wa uchuuzi kwa vijana kutembeza bidhaa za wachina na wahindi mitaani na ujenzi wa mafremu kila kona ~~ fuckin wastage of strong workforce.

Manashangilia maelfu ya vijana wenye nguvu wakiendesha bodaboda, zinawaua na kuwatia vilema ~~~ fuckin another wastagr of strong workforce.

Hii workforce ya vijana inahitaji efficiency utilization ili ijenge Taifa kisawasawa na si kuicha inazagaa zagaa, hii workforce ilipaswa kuwepo kwenye direct production zenye high impact kwenye all aspects of economic growth mfano kilimo, uchimbaji wa madini, uvuvi bahari kuu, researches, ujenzi wa miundombinu, wawe shule kulearn skills na kuwa skilled workforce, nk.

Uwanja unapaswa kutanuliwa kwa vijana kutumika ipasavyo kuijenga nchi yao na kujenga uchumi wao.
 
unataka maendeleo wakati wazarishaji ni wachache ni kuliko walaji, watu wengi wakiwepo wanasiasa, viongozi na waajiriwa wengi serikali ni consumers na sio productive matokeo tunakuwa na mzigo mkubwa wa walaji kuliko wazarishaji.

Tanueni uwanja ili shughuli za uzarishaji mali ziwe nyingi, raia wengi watakuwa na vipato vikubwa na kodi italipwa na wengi kwa uaminifu mkubwa.
 
Viongozi wanapenda sana aina hii ya mindset kwa Raia wanaowaongoza.

Hatuongelei ma v8 ya 400 mil plus za viongozi wanazonunua kama pipi, gharama na matumizi mabaya ya puplic funds bali tunajibana sisi kwa sisis kwa vitu ambavyo tunaona havituhusu.
Na huo ndio upumbavu wa mleta mada, serikali inafuja hela kwa vitu vya anasa hajagusia kabisa,ila kwa wavuja jasho ambao wameminywa Kila sehemu eti anashauri vice iongezwe, kwa aina hii ya wapumbavu hatuwezi songa mbele, yaani hakuna mbinu mbadala zaidi ya kumnyonga mvuja jasho
 
Huyu ni mshenzi Sana!
 
Back
Top Bottom