Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Iyo biashara iyo tafuta sehemu yenye mzunguko mkubwa ndo utaiweza na kama utajitahidi usiuze vinywaj pekee uza bidhaa zote za azam au mo la sivyo loss, haina faida kabisa kile kitin cha maji faida yake mia mbili,
Kwa mkuu bora kufungua sehemu ya kuuza mbogamboga, nyanya, vitunguu, matunda, n.k kuliko hii biashara
 
Nina milion 5naweza fungua duka la jumla la vinywaji baridi soda juice maji.

Vip faida yake na changamoto zake?

Vip kuhusu ntawezaje kununua kwa bei nafu ili niwauzie bei sawa na zinauzwa na haya magari yanayo tembeza
 
jaribu kuwatafuta salesman wa makampuni ya soda kama Coca/pespsi/mo/azam. sasa inategemea ww upo sehemu gani. ila wafanyabiashara wengi wanafunga depot zao, kwani biashara hii huwa inakua na target za kila mwezi, hivyo inategemea na achievment yako huwa wanatoa incentives. ni biashara ambayo inahitaji usimamizi wa hali ya juu has kama ni returnable container (glass) kwa PT (plastic) inakua nafuu. Mfano Crate Tsh 4000/,chupa 24 bottles ni 6000. kwa hyo jumla ni Tsh 10,000/= kwa crate na chupa tupu. Take my word strong supervision highly needed.
Thanks.
 
kwa upande wa makampuni ya vinywaji, glass huwa zina faida sana kuliko Takeaway. ndo maana inakua ngumu kuachilia, kwa sababu cost ya uzalishaji kwa takeaway ni kubwa sana kulinganisha na chupa/kioo. kwa mfano kama kampuni ikinunua glass kutoka kioo Ltd, yaani mzunguko wa kwanza tu kuingizwa sokoni, the next round wanapiga profit, coz watakua wana incurr cost za kuisafisha tu, then inaingia sokoni.kwa hyo ina rotated
 
Habari wadau! Natafuta mmbia wa kufanya nae biashara ya grocery pande ya Sinza A, sehemu ni yangu binafsi na eneo si barabarani ila ndani kidogo. Mchango wa mbia awe na fridge na freezer, mtaji wa vinywaji au vinywaji vinavyohitajika, viti na meza chache za kukalia, kufuatilia vibali vya kufanya biashara hiyo, awe na uwezo wa kuchangia gharama za msingi kama umeme, maji , taka n.k. Silengi kitu kikubwa sana, ila ikikua ni kheri zaidi. Natanguliza shukrani
 
Nishajaribu hiyo, wengine wanashindwa na inapokuja mda wa kodi inakua kutaftana! Nachokihitaji ni kama thread inavyojieleza kwa sasa.
 
Nishajaribu hiyo, wengine wanashindwa na inapokuja mda wa kodi inakua kutaftana! Nachokihitaji ni kama thread inavyojieleza kwa sasa.
Punguza kodi, na usitegemee kodi ndo iendeshe maisha yako ya kila siku
 
Heeeee[emoji15] [emoji15] ...

Unaonekana unapenda vya dezo
 
Habari zenu wadau kwa wale wenye uzoefu naomba kujua je biashara ya kuwa wakala wa vinywaji. Mfano maji ya Kilimanjaro, Dasani, Masafi..au soda za kampuni ya Pepsi Cocacola. Je, zinalipa na je risk zake ni zipi? Asanteni
 
Back
Top Bottom