Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Hongera sana, fanya hivyoWakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza
Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule pembeni then nihamie halafu niwe naendelea na ujenzi wa nyumba kubwa nikiwa kwangu ili niondokane na Kodi lakini pia itarahisha usimamizi wa nyumba kubwa
Mimi nimefanya Hivi.Mimi nakushauri hiyo hela umalizie nyumba kubwa upande mmoja then uamie wakati unamalizia mdogo mdogo
Ushauri bora kabisaKuha nyingine huoni kama ni gharama ya ziada,hapo jipige upaue tu,then weka madirisha na milango ya nje then amia tu.
Mdogo mdogo unamaliza mjengo
Chukua huu ushauri utakusaidiaMimi nakushauri hiyo hela umalizie nyumba kubwa upande mmoja then uamie wakati unamalizia mdogo mdogo
Mimi nakushauri hiyo hela umalizie nyumba kubwa upande mmoja then uamie wakati unamalizia mdogo mdogo
Hii ndiyo akili, tafuta vyumba viwili vilivyo karibiana then uvipaue nusu weka dirisha na mlango then hamia... Ukiwa humo anza kubandika mabati, mbao, simenti nk... Utashangaa baada ya miezi sita unapaua another two or three rooms...Mimi nakushauri hiyo hela umalizie nyumba kubwa upande mmoja then uamie wakati unamalizia mdogo mdogo
Karbu... pia unaweza ukachora ramani ya nyumba yako kwa mkono na kuiweka hapa ili tukushauri cha kufanyaAsanteni kwa ushauri wenu wakuu
Sasa nyumba kubwa utapauaje vyumba viwili wakati inatakiwa ipauliwe kisasa nyumba nzima au ndo unapaua kama slope then ukitaka kuipaua yote unang'oa mabati ya hivyo vyumba viwili?Hii ndiyo akili, tafuta vyumba viwili vilivyo karibiana then uvipaue nusu weka dirisha na mlango then hamia... Ukiwa humo anza kubandika mabati, mbao, simenti nk... Utashangaa baada ya miezi sita unapaua another two or three rooms...
Itakuwa hivyo, japo wataanza kusema nyumba za wasomi siku hizi zinafikirisha.Sasa nyumba kubwa utapauaje vyumba viwili wakati inatakiwa ipauliwe kisasa nyumba nzima au ndo unapaua kama slope then ukitaka kuipaua yote unang'oa mabati ya hivyo vyumba viwili?
Tunashukuru kwa ushauri Ila hapo mwishoni unakosea ndugu. Mipango muda mwingine hufeli....mwenyewe Niko kama huyu mkuu kikubwa tutiane moyo tutoboe. Wanaume tunayoyapitia tunajua wenyewe.Itakuwa hivyo, japo wataanza kusema nyumba za wasomi siku hizi zinafikirisha.
Bora apige bati nyumba nzima na aweke madirisha na mlango chumba kimoja.
Funzo kwa wengine, mtu akitaka kujenga nyumba, amtafute fundi amshauri gharama za ujenzi kulingana na ramani. Habari ya kujenga ramani kali kama ya fulani bila kuangalia uchumi, matokeo yake ndio haya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah Mungu atusaidieSina cha kukushauri wengi hatujui uchumi wako. Mradi umesema utachukua hata miaka 2 nikushauri tu uwe mvumilivu miaka 2 sio mingi labda kama umepanga nyumba ya kuanzia 200k na kuendelea.
Inakuwa vigumu kukushauri kwa sababu hatujui ukubwa wa familia yako. Kama upo na wife tu nikushauri pandisha hiyo master ya nyumba yako uishi wakati unajenga polepole.
MUNGU AKUSAIDIE, UJENZI KWA MASIKINI NI MSUMALI WA MOTO
Bila shaka maumivu ya jenzi ni makali sana kwa sisi hohehaheDah Mungu atusaidie