Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 209
Kama eneo linatosha anza na hio ndogo (Servant quarter), then uanze kujenga ya ndoto zako taratiibu bila kuathiri Uchumi wala Investment zako nyingine kama unazo.Nimepata idea zote hizo kwa sababu nikisema nianze nyumba ndogo itanichukua mwaka 1 kuijenga na kuhamia na nyumba ya ndoto yangu itanichukua zaidi ya miaka 3 kuhamia
Limemk8ta bro mmojaJenga kubwa moja kwa moja. Utahamia ikiwa semi finished. Unaweza kujenga ndogo halafu majukumu yakakuzonga ikawa ndio nyumba ya maisha yako yote
Nilitaka nimshauri hivi 🤙Jenga kubwa moja kwa moja. Utahamia ikiwa semi finished. Unaweza kujenga ndogo halafu majukumu yakakuzonga ikawa ndio nyumba ya maisha yako yote
Ni kweli mkuu, asante sana kwa ushauriKama eneo linatosha anza na hio ndogo (Servant quarter), then uanze kujenga ya ndoto zako taratiibu bila kuathiri Uchumi wala Investment zako nyingine kama unazo.
Ujenzi una addiction fulani, ukianza kujenga unaweza lala njaa maana kila hela utataka ikamalizie jambo fulani Site (Be Careful).
Nimekushauri based on Experience.
Hapa unamaanisha nin mkuu?Mipango sio matumizi kujenga nyumba sio mchezo jenga nyumba ya wastan acha ndoto za alinacha
Duh pole sana lakini kama umefikia hatua ya kuweza kupaua hiyo gharama ya kujenga chumba na sebule pembeni si ungeipeleka kwenye finishing angalau ungepiga hatua kubwa hata ya kuweza kuhamia kabisaUmewaza vizuri sana mkuuu nyumba kubwa kwa kipato cha kuunga unga ni kisanga, mi nilikurupuka na jumba kubwa sa ivi nataka niezeke niitelekeze nijenge pembeni chumba sebule self nipumue
Umetisha...!🤣🤣🤣Kodi ya 2.2m unailipaje mbona haigawanyiki kwa 3 au 6 au 12? Kwa mwezi ni 183,333.333333333333333 hivyo vitatu vitatu unamlipaje?
Jenga kulingana na kipato chako cha sasa achana na ndoto, kama una uwezo wa kujenga vyumba vitatu anza kujengaHapa unamaanisha nin mkuu?