Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 209
- Thread starter
- #41
Sqm 610Kiwanja chako kina square meter ngapi?
Sqm 610Kiwanja chako kina square meter ngapi?
OkaySqm 610
Umeniogopesha,Umewaza vizuri sana mkuuu nyumba kubwa kwa kipato cha kuunga unga ni kisanga, mi nilikurupuka na jumba kubwa sa ivi nataka niezeke niitelekeze nijenge pembeni chumba sebule self nipumue
Nimeajiriwa ndio na mkopo naweza pata, familia ninayo ila kwa sasa sipo nayo kwa sababu wife ameajiriwa mkoa mwingine kwa hiyo nipo bachelor ila wakipata nafasi mara moja moja huwa wanakuja na pia kipindi cha likizo ndio wanakuja na kukaa kwa muda mrefu kidogoOkay
Pia kabla sijashauri ningependa kujua kama familia unayoishi nayo nyumba moja ni watu wangapi na umeajiriwa au vp? na kama umeajiriwa waweza pata mkopo bank?
Kwenye hicho kiwanja cha 610 waweza jenga nyumba standart ila ndogo ambayo inaweza cover ukuwa wa hataNimeajiriwa ndio na mkopo naweza pata, familia ninayo ila kwa sasa sipo nayo kwa sababu wife ameajiriwa mkoa mwingine kwa hiyo nipo bachelor ila wakipata nafasi mara moja moja huwa wanakuja na pia kipindi cha likizo ndio wanakuja na kukaa kwa muda mrefu kidogoK
Asante sana kwa ushauri mzuri sanaKwenye hicho kiwanja cha 610 waweza jenga nyumba standart ila ndogo ambayo inaweza cover ukuwa wa hata
150 sqm na unajenga kwenye conner ya kiwanja
Then piga bajeti ya ujenzi wako then chukua mkopo wa hata miaka mitano
Then kama kuna itakayo pelea jaribu kusaka kwa udi na uvumba
Waweza hamia kabla haijaisha ilimradi iwe na basic structures
Mfano waweza piga plaster ndani na ukaweka tiles ile inje usiweke
Yaan vile utakavyo ona ni vya msingi
Ukisema ukusanye kwanza ndo ujenge kumbuka unaendelea kulipa kodi
Kumbuka ukikopa bank waweza jenga nyumba kwa asilimia kubwa ndani ya mwezi mmoja
Ukishakuwa kwako akili inapanuka na confidence inaongezeka