Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Sana kwa ushauri wako. lakini ata yule x wake ajui alipo uyu huyu dada alipo kua akimtafuta alikua akimtumia video akiwa na mwanamke mwingine lakini akuchoka kuzidi kumtafuta but kilichotokea baada ya x wake kuona haachi kumsumbua X aliamua kumblock.Kaza moyo demu alikuwa loyal kwa jama wa kwanza katendwa ana majeraha sana kwa watu wankaa na majeraha mpaka miaka 5 na kitu mpe mda
Dunia haina huruma unalipwa tofauti ukiwa haucheat nawe unasalitiwa ndo maana matukio ya kujiua yamezidi
Ishu na uyo ex najua kurudiana ni ngumu kutokana na ego ishajengeka kati yao kila mtu anaona kumwambia mwenzie warudiane ni ishu pevu inawa mioyo yao inapendana
Shida sio pesa naweza kumlisha anacho kitaka na kumvalisha na makorokoro yote ya wanawake unayoyajua wanatumia kwa mwaka bila kumsubirisha akiomba ata sekunde Moja.Ungekua na hela usingekataliwa
Game ngumu sana kaka mapenzi ni hatar kwa zama izi tena ukiwa loyao umekwisha watu wana zeeka wakiwa single kutokana na izo ishuAsante Sana kwa ushauri wako. lakini ata yule x wake ajui alipo uyu huyu dada alipo kua akimtafuta alikua akimtumia video akiwa na mwanamke mwingine lakini akuchoka kuzidi kumtafuta but kilichotokea baada ya x wake kuona haachi kumsumbua X aliamua kumblock.
Kwa umri wako huwezi kutoa KODI ya MEZA ,tatizo linaanzia hapoHabari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa huyu wa sasa,
Kuna Mdada nilikutananae katika kuwasiliana kwetu nilimwambia kilichopo moyoni, baada ya wiki moja nilikutananae kumwonyesha hisia zangu uso kwa uso. Ambapo alinieleza kuwa na yeye awezi kumdanganya mwanaume akipenda amependa. mungu ni mwema Alifunguka na kuniambia ananipenda, Lakini kwenye mazungumzo alinieleza historia yake ya mausiano yuko Kama mimi aliumwizwa na "X" wake. kwakuwa wote tuko Single tumekutana tunapendana Baasi moyoni nilifrai saana nikatambua jukumu langu kubwa kama mwanaume ni kumfanya aweze kumsahau "X" wake .
Nilijitahidi kweli kumjali kilichotokea juzi Tarehe 17.02.2022 usiku saa 09:45 nilikuta Kaniblock kwenye call na kuniachia text zifuatazo
"Jina langu.., am really sorry [emoji17]. Sitaki Kukuumiza kwa Upendo wako me sitaki mpenzi moyo wangu bado unamaumivu."
"Am sorry Sitaki kukupotezea muda kwako sina hisia za mapezi tena."
Moyo wangu ulisinyaa ghafla kama hini lililo mwagiwa gongo. nilitoka nyumbani mda uleule na kupanda pikipiki kwenda mtaani kwao anapoishi na kujaribu kuulizia watu wa pale anapokaa sikufanikiwa kwa kweli kwakuwa siku ile sikupata nafasi ya kujua nyumba anayokaa kinyooonge nilirudi nyumbani. but nyuma aliniaidi kuwa tarehe 27.02.2022 Atanipatia Zawadi ya Valentine day nami nilimwaidi hiyo siku atapata zawadi kutoka kwa valentine boy wake ambae ni mimi.
Dah nifanye nini?? mwenzenu nampenda ya Kikwelii
Mkuu mpaka Sasa Nina mambo megi Nina yafanya. hoooh sawaaaaaa mapenzi ni ya wazee ukute we nawe mwezangu na Mimi unajikaza tu kiaina heeMiaka 24 unalia kisa Mapenzi!
Mkuu, una mambo mengi ya kufanya zaidi ya Kupenda kijinga , mapenzi waachie wazee.
Ubarikiwe 🙏 saana mkuu. But maswala ya pesa sio shida wote tuna shuguli za kufanya yeye anachokililia ni true love only mambo mengine badae tatizo kuniamini na lile jambo Bado lipo moyoni mwake na kweli linamuumiza kisaikolijiaMi nakushauri kwa experience usijaribu kuforce mtu akupende, kama ameweza kusema wazi wazi usije ukapoteza muda wako.
Mwisho wa siku utakuja kutamkiwa maneno mabaya ambayo yatakuumiza zaidi.
Kwa umri wako huo najua bado hujawa stable kiuchumi, na ndo maana anakupa sababu zote hizo. Pambana tafuta hela mengine yatakuja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app