Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Amekutajia Jina Halisi Kabisa Unachanganyikiwa Kijana?
Hapo Ndio Unafungua Kurasa Ya Kumtafuta Vizuri.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uaimfikirie tena huyo mpuuzi.... fanya mambo mengine ya maan....yakimshinda atakuja akwambie [emoji849] samahani ni shetaniHabari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa huyu wa sasa,
Kuna Mdada nilikutananae katika kuwasiliana kwetu nilimwambia kilichopo moyoni, baada ya wiki moja nilikutananae kumwonyesha hisia zangu uso kwa uso. Ambapo alinieleza kuwa na yeye awezi kumdanganya mwanaume akipenda amependa. mungu ni mwema Alifunguka na kuniambia ananipenda, Lakini kwenye mazungumzo alinieleza historia yake ya mausiano yuko Kama mimi aliumwizwa na "X" wake. kwakuwa wote tuko Single tumekutana tunapendana Baasi moyoni nilifrai saana nikatambua jukumu langu kubwa kama mwanaume ni kumfanya aweze kumsahau "X" wake .
Nilijitahidi kweli kumjali kilichotokea juzi Tarehe 17.02.2022 usiku saa 09:45 nilikuta Kaniblock kwenye call na kuniachia text zifuatazo
"Jina langu.., am really sorry [emoji17]. Sitaki Kukuumiza kwa Upendo wako me sitaki mpenzi moyo wangu bado unamaumivu."
"Am sorry Sitaki kukupotezea muda kwako sina hisia za mapezi tena."
Moyo wangu ulisinyaa ghafla kama hini lililo mwagiwa gongo. nilitoka nyumbani mda uleule na kupanda pikipiki kwenda mtaani kwao anapoishi na kujaribu kuulizia watu wa pale anapokaa sikufanikiwa kwa kweli kwakuwa siku ile sikupata nafasi ya kujua nyumba anayokaa kinyooonge nilirudi nyumbani. but nyuma aliniaidi kuwa tarehe 27.02.2022 Atanipatia Zawadi ya Valentine day nami nilimwaidi hiyo siku atapata zawadi kutoka kwa valentine boy wake ambae ni mimi.
Dah nifanye nini?? mwenzenu nampenda ya Kikwelii
Nikweli but ukiona mtu kapenda kweli ujue chujio limechuja Nina miaka mingi Sana dar na Wala ata siangaiki na wanawake
Ndio zetu watu wenye upendo wa dhati na siku ukikutana na unaempenda kweli ndo cheche zinatoka
Tafuta pesa (Mbongo) ni sabuni tosha ya mapenzi Kwa miaka hiiHabari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa huyu wa sasa,
Kuna Mdada nilikutananae katika kuwasiliana kwetu nilimwambia kilichopo moyoni, baada ya wiki moja nilikutananae kumwonyesha hisia zangu uso kwa uso. Ambapo alinieleza kuwa na yeye awezi kumdanganya mwanaume akipenda amependa. mungu ni mwema Alifunguka na kuniambia ananipenda, Lakini kwenye mazungumzo alinieleza historia yake ya mausiano yuko Kama mimi aliumwizwa na "X" wake. kwakuwa wote tuko Single tumekutana tunapendana Baasi moyoni nilifrai saana nikatambua jukumu langu kubwa kama mwanaume ni kumfanya aweze kumsahau "X" wake .
Nilijitahidi kweli kumjali kilichotokea juzi Tarehe 17.02.2022 usiku saa 09:45 nilikuta Kaniblock kwenye call na kuniachia text zifuatazo
"Jina langu.., am really sorry 😔. Sitaki Kukuumiza kwa Upendo wako me sitaki mpenzi moyo wangu bado unamaumivu."
"Am sorry Sitaki kukupotezea muda kwako sina hisia za mapezi tena."
Moyo wangu ulisinyaa ghafla kama hini lililo mwagiwa gongo. nilitoka nyumbani mda uleule na kupanda pikipiki kwenda mtaani kwao anapoishi na kujaribu kuulizia watu wa pale anapokaa sikufanikiwa kwa kweli kwakuwa siku ile sikupata nafasi ya kujua nyumba anayokaa kinyooonge nilirudi nyumbani. but nyuma aliniaidi kuwa tarehe 27.02.2022 Atanipatia Zawadi ya Valentine day nami nilimwaidi hiyo siku atapata zawadi kutoka kwa valentine boy wake ambae ni mimi.
Dah nifanye nini?? mwenzenu nampenda ya Kikwelii
Ungekua na hela usingekataliwa
Ukweli sawa but naona kama ananipima Imani yangu kwake
Aaah wapi...! Unajua nini, mimi mwenyewe nilikua napenda kama wewe nikajikuta naishia kuumia tu, sasa nilichokifanya nimeamua kutokupenda, yaani naigiza kama napenda lakini akilini nafanya kama utani au usanii flani hiviHapana kaka usije ukagombana nae bila kosa Wala Akai mabibo
Soma sana kwa bidii, wazazi wako tunateseka sana na magunia ya vitunguu ili mwanetu usome halafu unaendekeza habari za mapenzi! Mimi kama mzee Materu sijapenda hio biashara unayofanya hapo uhasibu!Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa huyu wa sasa,
Kuna Mdada nilikutananae katika kuwasiliana kwetu nilimwambia kilichopo moyoni, baada ya wiki moja nilikutananae kumwonyesha hisia zangu uso kwa uso. Ambapo alinieleza kuwa na yeye awezi kumdanganya mwanaume akipenda amependa. mungu ni mwema Alifunguka na kuniambia ananipenda, Lakini kwenye mazungumzo alinieleza historia yake ya mausiano yuko Kama mimi aliumwizwa na "X" wake. kwakuwa wote tuko Single tumekutana tunapendana Baasi moyoni nilifrai saana nikatambua jukumu langu kubwa kama mwanaume ni kumfanya aweze kumsahau "X" wake .
Nilijitahidi kweli kumjali kilichotokea juzi Tarehe 17.02.2022 usiku saa 09:45 nilikuta Kaniblock kwenye call na kuniachia text zifuatazo
"Jina langu.., am really sorry 😔. Sitaki Kukuumiza kwa Upendo wako me sitaki mpenzi moyo wangu bado unamaumivu."
"Am sorry Sitaki kukupotezea muda kwako sina hisia za mapezi tena."
Moyo wangu ulisinyaa ghafla kama hini lililo mwagiwa gongo. nilitoka nyumbani mda uleule na kupanda pikipiki kwenda mtaani kwao anapoishi na kujaribu kuulizia watu wa pale anapokaa sikufanikiwa kwa kweli kwakuwa siku ile sikupata nafasi ya kujua nyumba anayokaa kinyooonge nilirudi nyumbani. but nyuma aliniaidi kuwa tarehe 27.02.2022 Atanipatia Zawadi ya Valentine day nami nilimwaidi hiyo siku atapata zawadi kutoka kwa valentine boy wake ambae ni mimi.
Dah nifanye nini?? mwenzenu nampenda ya Kikwelii
Hujasoma tena wewe[emoji16]Unaibiwaaaaaaaa.... Rayvany
HahahahahhaNimepitia reply zako inaonesha wewe bado unataka kulazimisha kwa huyo bint
Mkuu skia huyo dada haupo moyoni mwake, amekulinganisha na ex wake akaona hutoshi, hana hisia nawewe, bado anaamin ex wake atarudi.
Ushauri wangu;
Acha kupoteza mda wako kwake, mtu kama mpaka kaku block na hamja gombana, hiyo inatoka moyoni mwake, umesem hela haikusumbui!, vema, ila endelea kuboresha maisha yako, kama amepangwa awe wako atakuja mbele ya safari tu.
Auntie unafikiri jamaa kakataliwa kisa hana hela??[emoji16]