BravoZulu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2021
- 1,824
- 3,747
Maisha ya mapenzi huwa ni rahisi sana ila sasa sema wengi wetu vijana tunalazimisha sana yani....mimi kilichonikuta 2020 sitokaa niteseke kisa mapenzi aiseeh
Nakuelewa nakueleza huoneshi interest imeisha hiyo😒😒maisha yanichakate akili na toto la mtu linixhakate akili
Nakuelewa nakueleza huoneshi interest imeisha hiyo😒😒maisha yanichakate akili na toto la mtu linixhakate akili