Ushauri; Kuna dada nampenda sana lakini hayuko tayari kuwa na mimi

Wachuchu wapo wengi sana, ni vile tu moyo wako kwa sasa unakudanganya kuwa hakuna mwingine zaidi ya huyo...
Nikweli but ukiona mtu kapenda kweli ujue chujio limechuja Nina miaka mingi Sana dar na Wala ata siangaiki na wanawake
Ndio zetu watu wenye upendo wa dhati na siku ukikutana na unaempenda kweli ndo cheche zinatoka
 
Hakika nimekupata Saaana Asante kwa ushauri wako mzuri umenichoma kunako ingawa Kuna karoho ya ajabu inaleta shida
But hii lazima nilifanyie kazi 🤔🤔
 
Hakika nimekupata Saaana Asante kwa ushauri wako mzuri umenichoma kunako ingawa Kuna karoho ya ajabu inaleta shida
But hii lazima nilifanyie kazi [emoji848][emoji848]
Kaza kiume, siku zinavyoenda moyo unapoa, kama imeandikwa wako mbona atakuja tuu, ukizidi kimsumbua ndo atazidi kukudharau na kukuona kero, mwanamke ni kama mchanga wa bahari, jinsi unavyo zidi kuushika na kuubana kwa guvu kiganjani ndivo unavyo zidi kukuponyoka.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Fantastic article ⭐⭐⭐⭐mkuu ubarikiwe 🙏 🙏
 
Mapenzi mapenzi



Miaka hii niliyonayo sijawahi kupenda mwanamke....nawaona chombo Cha starehe tu..

Any Nina male chauvinism

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hatuna cha kukushauri umemchagua mwenyewe
Yawezekana kweli lakini kwa waliotoa ushauri tiaari naona naelekea pazuri but kumbuka wazungu wanasema "find what you love and let's it kill you"
 
Tafuta pesa Kijana Acha kulia Lia kuhusu pesa mdogo wangu. Tafuta hela mdogo wangu zitakutatulia changamoto nyingi nakuhakikishia mdogo wangu
 
Siku hizi kupendaa penda kumepitwa na mudaaa tulilluuuuu.....
 
Dogo..
Pesa
Pesa
Pesa
Pesa
Achana na kutongoza tafuta pesa. Fisi hufuata mzoga...
Utachagua fisi wako mwenye nafuu.
Nb; bado wapo ke wanaojielewa hawatishwi na pesa lkn ni kuduchu mno
 
Yeye ndo alipaswa ajiulize afanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…