Ushauri; Kuna dada nampenda sana lakini hayuko tayari kuwa na mimi

Amekutajia Jina Halisi Kabisa Unachanganyikiwa Kijana?

Hapo Ndio Unafungua Kurasa Ya Kumtafuta Vizuri.
 
Uaimfikirie tena huyo mpuuzi.... fanya mambo mengine ya maan....yakimshinda atakuja akwambie [emoji849] samahani ni shetani

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nikweli but ukiona mtu kapenda kweli ujue chujio limechuja Nina miaka mingi Sana dar na Wala ata siangaiki na wanawake
Ndio zetu watu wenye upendo wa dhati na siku ukikutana na unaempenda kweli ndo cheche zinatoka

Penda kwa kutumia ubongo, upendo wa moyoni uache hadi mchuchu atapokuwa mkeo...
 
Tafuta pesa (Mbongo) ni sabuni tosha ya mapenzi Kwa miaka hii
 
Hapana kaka usije ukagombana nae bila kosa Wala Akai mabibo
Aaah wapi...! Unajua nini, mimi mwenyewe nilikua napenda kama wewe nikajikuta naishia kuumia tu, sasa nilichokifanya nimeamua kutokupenda, yaani naigiza kama napenda lakini akilini nafanya kama utani au usanii flani hivi

Nampa maneno mazuri lakini nimeshajijengea imani akilini mwangu najisemea, "akinitosa sina cha kupoteza".
Tangu nianze tabia hii sijawahi kujutia wala kuumia tena ndo nimejikuta nakua jasiri namuibukia mwanamke yeyote on time yaani nikimuelewa tu namchana akikataa naachana nae nafanya mambo mengine maana sina cha kupoteza

Kwa sasa mambo ya kupenda kutoka moyoni tuwaachie kina Sharukhan sisi twende na maigizo tu
Hawa viumbe wanapenda sana kudanganywa hivyo twende nao anavyotaka wao

Kuna mwamba aliweka status akasema, "ukiwa mkweli huwezi kuoa"
Hivyo ni vyema twende nao kwa kutumia ulimi wa mwanasiasa
Usipende ila mtamani tu, kuwa muigizaji
 
Soma sana kwa bidii, wazazi wako tunateseka sana na magunia ya vitunguu ili mwanetu usome halafu unaendekeza habari za mapenzi! Mimi kama mzee Materu sijapenda hio biashara unayofanya hapo uhasibu!
 
Hahahahahha
 
Kitu naweza kuhusia tu kamwe usijaribu kufosi mtu akupende!

Love is free ni hisia ambazo zinakuwepo tu juu yako hazihitaji msukumo wa aina yeyote ile. Huyo mwanamke ukimforce ataishia kukutesa tu.
 
Kubaliwa, kataliwa, Achwa, tapeliwa, rudi tena mwenyewe, etc
nishazoea mpk naona kawaida t..
Br usicomplicate mambo ,we ishi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…