Wala sisomi mkuu ata yeye asomi wote tunashuguli za kufanya Asante kwa maoni yakoSoma sana kwa bidii, wazazi wako tunateseka sana na magunia ya vitunguu ili mwanetu usome halafu unaendekeza habari za mapenzi! Mimi kama mzee Materu sijapenda hio biashara unayofanya hapo uhasibu!
Maisha ya mapenzi huwa ni rahisi sana ila sasa sema wengi wetu vijana tunalazimisha sana yani....mimi kilichonikuta 2020 sitokaa niteseke kisa mapenzi aiseeh
Nakuelewa nakueleza huoneshi interest imeisha hiyo😒😒maisha yanichakate akili na toto la mtu linixhakate akil
Hapana kaka am mature. Na kwani mapenzi yanasumbuaga tu unmature people big No Yale yaliomsumbua Samson nae akua matureKuna wakati kwenye Maisha Tunapaswa kuacha kabisa kuyaendekeza Mapenz Ili tuwe serious na Maisha.
Ukiona Mapenzi yanakusumbua, jua fika kuwa bado hajawa matured kiakili.[emoji110]
Simple and clear thanks 👍Uaimfikirie tena huyo mpuuzi.... fanya mambo mengine ya maan....yakimshinda atakuja akwambie [emoji849] samahani ni shetani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu , hayana(ga) muongozo.Asante Sana mkuu. Yalimtesa Samson sembuse Mimi.
. nilisona mbona!Hujasoma tena wewe[emoji16]
Duh nimekupata Asante kwa maoni yakoAaah wapi...! Unajua nini, mimi mwenyewe nilikua napenda kama wewe nikajikuta naishia kuumia tu, sasa nilichokifanya nimeamua kutokupenda, yaani naigiza kama napenda lakini akilini nafanya kama utani au usanii flani hivi
Nampa maneno mazuri lakini nimeshajijengea imani akilini mwangu najisemea, "akinitosa sina cha kupoteza".
Tangu nianze tabia hii sijawahi kujutia wala kuumia tena ndo nimejikuta nakua jasiri namuibukia mwanamke yeyote on time yaani nikimuelewa tu namchana akikataa naachana nae nafanya mambo mengine maana sina cha kupoteza
Kwa sasa mambo ya kupenda kutoka moyoni tuwaachie kina Sharukhan sisi twende na maigizo tu
Hawa viumbe wanapenda sana kudanganywa hivyo twende nao anavyotaka wao
Kuna mwamba aliweka status akasema, "ukiwa mkweli huwezi kuoa"
Hivyo ni vyema twende nao kwa kutumia ulimi wa mwanasiasa
Usipende ila mtamani tu, kuwa muigizaji
Mi naona kama bado yupo kwenye umri wa kulia na mapenzi kwa sababu kwa vyovyote vile waschana anaokutana nao ni kuanzia 18 mpaka 23 au 24 kama yeye. Ambao nao vichwa vyao havijatulia kutokana na umri wao.Miaka 24 unalia kisa Mapenzi!
Mkuu, una mambo mengi ya kufanya zaidi ya Kupenda kijinga , mapenzi waachie wazee.
Mi naona kama bado yupo kwenye umri wa kulia na mapenzi kwa sababu kwa vyovyote vile waschana anaokutana nao ni kuanzia 18 mpaka 23 au 24 kama yeye. Ambao nao vichwa vyao havijatulia kutokana na umri wao.
Ngoja aongeze hata miaka sita, wale waschna aliokua walio mkataa wengi wao atakuja kushangaa hawana mbele wa nyuma. Watamtafuta yeye sasa
Asante Sana mkuu kwa maoniMi naona kama bado yupo kwenye umri wa kulia na mapenzi kwa sababu kwa vyovyote vile waschana anaokutana nao ni kuanzia 18 mpaka 23 au 24 kama yeye. Ambao nao vichwa vyao havijatulia kutokana na umri wao.
Ngoja aongeze hata miaka sita, wale waschna aliokua walio mkataa wengi wao atakuja kushangaa hawana mbele wa nyuma. Watamtafuta yeye sasa
Nimeimiss sana ID yako ya zamanihahahaaa
. nilisona mbona!