Pre GE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
 
Wewe kweli humtakii mema mama. Yaani unataka arekebishe vifungu ambavyo ndiyo hivyo vinamuweka madarakani.

Asikuambie mtu, Urais ni mtamu bwana. Amenunua Gulfstream G700 mupyaaa halafu unataka amuachie Lissu? Aaa wapi

Lissu yeye abaki tu na mgari wake wenye matobo kama neti za mbu za USAID
 
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
Chadema ndio nini?
 
Acha dharau Mkuu, chadomo ya Lissu haina hadhi ya kukaa meza moja na CCM. CCM itakuwa imejoshusha sana.
 
Naunga mkono hoja..MEZA YA MAZUNGUMZO NDIO KILA KITU..

Mh Rais usiwasikilize Wapambe uchwara hao Makala at al, ..waite Wapinzani ongeeni na mchakato wa mabadiliko madogo ya Katiba yafanyike ili kuruhusu Uchaguzi 2025 ulio huru na wa haki chini ya Tume Huru ya Uchaguzi

Mama Tanzania ni MKUBWA kuliko CCM, CDM na ACT
 
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
wajadiliane nini? CHADEMA wamesema wanataka katiba na tume mpya ya uchaguzi. Sasa hapo kuna lipi la kujadiliana?
 
Acha dharau Mkuu, chadomo ya Lissu haina hadhi ya kukaa meza moja na CCM. CCM itakuwa imejoshusha sana.
Ni aibu kwa Chadema kukaa meza moja na wahuni, walioididimiza nchi yetu...
 
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
Hii inshu ilipofika haihitaji vikao vingi. Inahitaji kauli moja tuu ya mh. Rais kuwa tufanye marekebisho hayo.
 
CCM tupoteze muda wakati uchaguzi umekaribia na tumejiandaa barabara

Hatutaki kupotezewa focus

Focus yetu ushindi wa kishindo October
 
Na tutazidi kuwaambia wananchi kuwa Uchaguzi wa Tanzania ni mchezo wa kuigiza wasijisumbue tena kupiga kura mpaka Reforms kwanye mfumo wa kupiga kura.
 
Hayo maneno muambiane wazi huko Chadema kuwa hakutakuwa na Chadema kushiriki uchaguzi hadi pale chadema kitakapopata pesa za uchaguzi

Hiyo ndio sababu kuu ya Chadema kutodhiriki ila inajificha kwenye kichaka cha no reform no election!!!

Si muwaambie tu ukweli wanachama wenu

Halafu mnawasumbua bila sababu wako wengine wana pesa zao binafsi na watu wao wa kuwapigia kura

Lisu aache ubinafsi yeye kukosa pesa za ugombea uraisi za kuzunguka nchi nzima asiwakoseshe na wengine ambao wanazo zao na watu wao na wako tayari kugombea ubunge na udiwani
 
It takes two to Tango.
Kitendo cha pande mbili kukutana na kujadili ndio mwendelezo wa hatua muhimu ya marekebisho ya katiba siku za usoni.
 
Je wote wako tayari for compromise?
 
wajadiliane nini? CHADEMA wamesema wanataka katiba na tume mpya ya uchaguzi.
Namna ya kuyapata hayo...
Sasa hapo kuna lipi la kujadiliana?
1. Kuona commitment na utashi wa kisiasa wa CCM kuwa wamedhamiria kutekeleza hayo yote...

2. Tunataka wale yamini (viapo) vya waziwazi kuwa hawatatufanyia wananchi ulaghai na udanganyifu tena kama walivyofanya mwaka 2022/2023 kwenye kile walichokiita "maridhiano" kumbe ni utapeli tu wa Chura Kiziwi na wenzake...

3. Hii ishu sio ya CCM na CHADEMA tu bali ni ya Watanzania wote. Kwa hiyo, CHADEMA waechokoza mjadala tu lakini majadiliano haya yanahusu kupata mwafaka wa kitaifa utakaohusisha makundi ya kijamii yote.

4. Uzuri wa hii kitu, ni kuwa Tume karibu nne zimeshaweka sawa mambo haya kuanzia ile ya Jaji Francis Nyalali, ya Jaji Robert Kissanga, ya Jaji Mark Bomani na funga kazi ni ile iliyobeba maoni ya makundi ya kijamii yote, tume ya mabadiliko ya katiba ya Jaji Joseph Sinde Warioba iliyotoa ripoti yake mwaka 2013/2014 pamoja na Rasimu ya Katiba mpya...
 
Hayo maneno muambiane wazi huko Chadema kuwa hakutakuwa na Chadema kushiriki uchaguzi hadi pale chadema kitakapopata pesa za uchaguzi
Watanzania sio wajinga hivyo kama unavyodhani.
 
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
ni kupoteza rasilimali muda kujadiliana na vibaka na matapeli wa kisiasa 🐒
 
Tunaishi kama watalii - Mungu aliiumba Tanzania kwa majaribio - ngoja tupime maji na unga
 
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.

Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.

Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.

Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.
Tatizo lipo kwa wanaomzunguuka Sir 100 na chama chake. Hawawezi kukubali mambo ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom