Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana.
Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza kumwaga sumu kwa wananchi na siku ya uchagtuzi watakaojitokeza wapiga kura wachache sana wanaofikia mfano 20% ya wapiga kura wote waliojiandikisha na hii inaweza kuwa aibu kwa nchi.
Nchi yetu ni ya AMANI ni vema Vyama hivi vikakaa meza moja na kurekebisha mapungufu yatakayoonekana ili uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki.
Tunakuomba Mhe. Rais wetu, Mama yetu ingilia kati mvutano huu wa vyama hivi viwili.