Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #201
zote nzito, ila ya mdomo inaitwa infomal, ya maandishi inaitwa formal.Kati ya kauli ya mdomo na kauli ya maandishi ipi ina uzito?
Pasco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zote nzito, ila ya mdomo inaitwa infomal, ya maandishi inaitwa formal.Kati ya kauli ya mdomo na kauli ya maandishi ipi ina uzito?
Mimi nakushukuru kwa ushauri kwa hawa watu.Kwa mujibu wa hizo clips, mtetezi wa kweli wa katiba ni Mhe. Mbowe, anachofanya Rais Magufuli ni udikiteta tuu per se!, huu udikiteta Magufuli hakuuanza leo, tangu ameanza huu udikiteta, Chadema wamo kwenye chombo cha kumdhibiti, Bunge, badala ya kulitumia bunge ambacho ni chombo rasmi kumdhibiti rais, wenzetu walikuwa wanaenda na kutoka bila kuchangia chochote, mara wanaweka plasta midomoni na vituko hivi na vile, kimya chao, kimemfanya Magufuli kuiweka pembeni katiba, na kutawala kwa kauli na matamko na siku zote wamenyamaza!, japo katiba inaruhusu maandamano, lakini mwenye nchi amesema hataki maandamano, ushauri wangu ni watu wasiandamane, mwenye nguvu mpishe, huyu jamaa yuko serious kweli, wakiandamana, atawatandika kweli!.
Pasco
Mkuu wewe mwenyewe ulimsikia Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Mbowe kwa masikio yako, au ulifanya ulihadithiwa tuu kuwa Mbowe kasema hiki na kile?!, kwa sababu kuna watu wana masikio lakini hawasikii, na kuna watu wana macho lakini hawaoni!.
Sasa kwa kukusaidia wewe na wengine ambao hamkubahatika kumsikia Mwenyekiti wa Chadema, alisema nini, nakuwekea video yake uiangalie na kumsikiliza kwa makini alisema nini, pia nakuwekea na clip ya mwenyenchi mwenyewe, amesema nini, na ni hii clip mkuu wa nchi, ndio imepelekea kunifanya mimi kuutoa ushauri huu kwa Chadema, cho chonde msiandamane, this man mean business!, he mean what he says and will practice what he preach!.
Pasco
Mkuu Pasco, you can't be serious. Yaani pamoja na mhalifu wa katiba yetu kujulikana, bado unashauri aachwe afanye anavyotaka! Na hilo zigo lote unalowatwika wapinzani...wananchi nao wanafanya nini kwa ajili ya nchi yao?Kwa mujibu wa hizo clips, mtetezi wa kweli wa katiba ni Mhe. Mbowe, anachofanya Rais Magufuli ni udikiteta tuu per se!, huu udikiteta Magufuli hakuuanza leo, tangu ameanza huu udikiteta, Chadema wamo kwenye chombo cha kumdhibiti, Bunge, badala ya kulitumia bunge ambacho ni chombo rasmi kumdhibiti rais, wenzetu walikuwa wanaenda na kutoka bila kuchangia chochote, mara wanaweka plasta midomoni na vituko hivi na vile, kimya chao, kimemfanya Magufuli kuiweka pembeni katiba, na kutawala kwa kauli na matamko na siku zote wamenyamaza!, japo katiba inaruhusu maandamano, lakini mwenye nchi amesema hataki maandamano, ushauri wangu ni watu wasiandamane, mwenye nguvu mpishe, huyu jamaa yuko serious kweli, wakiandamana, atawatandika kweli!.
Pasco
Mkuu Lazarus, kwa mujibu wa katiba ya JMT, chombo pekee chenye mamlaka ya kutafasiri sheria ni mahakama!. Tumeshuhudia mara kibao serikali inafikishwa mahakamani na inapigwa chini!, zipo kauli za rais kama mwenyekiti wa CCM, hizi ni kauli za kisiasa, zinaweza kupuuzwa au kupingwa kwa siasa za majukwaani au maandamano!. Kuna kauli rais anazozitoa kama rais wa JMT, hizi ni kauli za kiutendaji, haziiwezi kupuuzwa lakini zinazungumzika na zinapingika mahakamani na sio kwa mikutano ya hadhara au kwa maandamano!, lakini kauli anazozitoa kama Amiri Jeshi Mkuu, kauli hizi ni amri, hazina mjadala, ni utekelezaji tuu, kinyume cha hapo ni mkong'oto!. Katazo la maandamano sio ombi ni amri, mwenye kuweza kutamka kama amri hiyo ya rais ni amri halali au batili, ni mahakama pekee!. Serikali ya JPM ni serikali halali yenye mamlaka halali, hivyo rais akikataza jambo fulani, katazo hilo ni amri halali, Chadema wana wajibu wa kutii amri zote halali bila shuruti, chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka kuwa amri ile ya rais ni amri batili, ni mahakama tuu, na sio maandamano, sio mkutano wa hadhara!.Wewe Pasco naona unazidi kuchafua hali ya hewa baada ya thread yako na sasa hii comment.
Huo ushauri unaojaribu kutoa hapa ni kutuletea habari za kijima, we unaona sawa tu watu watii kila agizo wanaloambiwa na wasichukue yoyote hata kama ni agizo la kipuuzi? huo ni utwana...
Unasema eti waende mahakamani kuomba tafsri sahihi ya sheria inayohusu maandamano.. hivi unaishi Tanzania wewe?
Mahakama gani hizo? hizi za kibongo ambazo zimewekwa mfukoni na CCM na hata sheria zenyewe zinatafsiriwa kuendana na matakwa ya watawala..!!?
Kama waliweza kufanya amendment ya sheria ya mita 200 hili kuendana na kauli ya raisi, watashindwa nini kutwambia safari hii tena kwa kiongozi huyu aliyopo kwamba "SHERIA INASEMA MAANDAMANO YOYOTE YALE NI KOSA LA JINAI"....?
leo hujawaza kabisa Pasco.
Mkuu Kaspari Kauki, usije ukakauka bure, humu jf, tuna members wa aina nyingi na wenye viwango tofauti vya uelewa, kuanzi ma GT hadi ma ignorant s kibao!, nakiri ili uweze kumuelewa vizuri Pasco wa jf, inakubidi kwanza uwe na level fulani ya uelewa, vinginevyo nyinyi mnaotoka kapa, ndio mnaokuja kuishia na comments za kujuha kama hii!.Pasco mnafiki na mzandiki wakutupwa.
Umenikumbusha watawala wa Rumi ya zamani (ancient Rome) pale kwenye Kolosai (Colosseum) katika mpambano wa ma giladietaz (gladiators), yaani watu wana kiu ya damu hadi wanahamu ya kuispill ili tuu waisikie harufu!. Na kwa mwendo huu, jamaa yako namuona ni copy cat wa Kaisari, ndio maana nimewashauri, wampe Kaisari yaliyo ya Kaisari.Pasco acha hahari zako wengine tunahamu ya kuvunja watu wewe unaleta sanaa za kuwapa ushauri sisi tutapata wapi watu wa kupiga? Acha waje tufanye kazi yetu tupate posho za kazi ya kutukuka.
MkuuMbowe aliwakataza Bavicha wasiende dodoma watatumia njia za kimahakama kudai haki zao. Sasa nini kimebadili msimamo wao na Lowasa aliyewashauri kuwa maandamano hayasaidii? Hivi hawa ndugu zetu wanajua wanasimamia nini?
Haya usemayo ni kweli, kwa watetezi wa demokrasia ya kweli wanaotaka kuiona Tanzania ikishamiri kwenye mfumo imara wa vyama vingi, kwa huku bara, wataisupport Chadema, lakini hawatakuwa tayari kuinga mkono inapofanya maamuzi ya kitoto kama ya ya bungeni, na hili sasa la kutaka kumchezea simba sharubu!.Kama watu wanatambua kuna sheria za nchi, katiba na mgawanyiko wa utawala etcetera kwa makusudi ya kufanya mambo kwa taratibu sahihi.
Mbona hakuna aliewai kwenda mahakamani mpaka sasa kupinga amuzi lolote au tendo lolote ambalo ni kinyume na katiba mpaka sasa?
Watu hao hao wanaosema raisi aeshimu sheria wanapoitwa vituo vya polisi wanaenda na wanasheria wao au wamesindikizana; sasa kama uamini kuna sheria unabeba mwanasheria wa nini unapoitwa na vyombo husika?
CDM wamezoea siasa za uhamasishaji miaka yote lakini sio kwamba awajui njia halali za kupinga kama sheria inavunjwa; maamuzi ya kuzuia bunge ni utashi wa serikari sio lazima yes inaweza kuwa unpopular move lakini ipo chini ya mamlaka ya serikari ya nchi yoyote duniani. Na hakuna nchi watu wanafanya mikutano ya hadhara duniani miaka mitano mfulululizo bado wabaki na umoja wa kitaifa.
Hata hizo kanuni za maadili ya vyama vya siasa ambazo wanatumia kulaghai wananchi zinasema nini kwanza kifanyike pale haki inaponyimwa; lakini wao awataki shida yao ni kuamasisha fujo tu siku zote.
Pinda aliwanyoosha Mtwara na hakuna aliewatetea duniani; je Magufuli atathubutu?
You know what they say: mara ya kwanza ni kukosea, mara ya pili ni utaratibu uliojengeka na mara ya tatu ni tabia ya mtu.Haya usemayo ni kweli, kwa watetezi wa demokrasia ya kweli wanaotaka kuiona Tanzania ikishamiri kwenye mfumo imara wa vyama vingi, kwa huku bara, wataisupport Chadema, lakini hawatakuwa tayari kuinga mkono inapofanya maamuzi ya kitoto kama ya ya bungeni, na hili sasa la kutaka kumchezea simba sharubu!.
Chadema needs serious help rather than sympathy!, wekiendelea na mipango hii ya kutunushiana misuli badala ya kufuata the right cause of action, hata hao wenye busara wake wataishia kuonekana ni wajinga tuu!.
Pasco
Mkuu mshunami usemacho ni kweli kabisa, Chadema ina haki ya kuandamana, mwenye nchi hataki maandamano kinyume cha katiba na sheria inavyoelekeza, the right cause of action kuipigania haki hii sio kupitia kwenye maandamano au mikutano ya hadhara!, unaandamana na kufanya mikutano ya hadhaa ili iweje?!, wananchi wajue Magufuli ni dikiteta, then what?!, the right thing to do ambayo ndio the rright cause of action ni kwenda mahakamani, mahakama sasa ndio itamshikisha adabu rais wetu kwa kumjulisha yeye kuwa rais, haina maana anaweza kusema lolote na kufanya lolote, katiba ndio kila kitu, ais akisema kinyume cha katika na kutenda kinyume cha katiba, anaadabishwa!.Pasco, Hizo sababu zako zote ndizo zinazofanya Chadema waseme kuwa inatosha. Tuweke ukuta ili Katiba isiendelee kuvunjwa na udikteta usiendelee kushamiri. Inatosha. Lazima kuwe na utawala wa sheria sasa. Inatosha. Lazima mihimili yote iwe sawa! Lazima wazalendo wa kweli wapinge hayo kwa nguvu bila woga! Namuunga mkono Magufuli kwa nia yake njema, lakini Chadema nao wana hoja!!!
Mkuu katiba haijasema mikutano ya hadhara ni wakati wa uchaguzi tuu, wala sheria ya vyama haijasema hivyo!, alichosema rais Magufuli ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria, lakini katiba inapovunjwa au sheria na kanuni zinapokiukwa, hili sio jambo la maandamano wala mikutano ya hadhara, hili ni jambo la kisheria mahali sahihi ni mahakamani!.You know what they say: mara ya kwanza ni kukosea, mara ya pili ni utaratibu uliojengeka na mara ya tatu ni tabia ya mtu.
Kwakuwa serikari wanadai bado wanavilea vyama vya siasa masomo mengine sio rahisi ili moja wapo. Uwezi kuachiwa kuvuruga amani kwa tabia ulizojijengea kwa mwamvuli wa kusajiliwa kama chama cha siasa; njia za demokrasia zipo mbona awazifuati kama malengo yao ni ya amani.
Ni tabia tu ambazo inabidi zikomeshwe mikutano ya hadhara ni kipindi cha uchaguzi tu lakini sio kila unapojisikia huo ndio utaratibu duniani sio Tanzania.
Aachwe ili iweje?Magufuli dikteta anayependwa na walalahoi, anachukiwa na mafisadi.
Naona huyu dikteta ana nguvu kubwa nyuma yake, nguvu ya walalahoi ni ngumu kuivunja. Mumuache tu dikteta Magufuli afanye udikteta wake mpaka pale walalahoi watapofungua milango ya nyumba zao na kusema, tumechoka utawala wa kidikteta.
Mkuu hakuna kitabu cha siasa, sheria zinazoongelea utaratibu wa vyama vya siasa or even when not expressed; kwamba vya siasa vinajukumu la kuelemisha umma, kufanya mikutano yake ya kisiasa, kupinga hoja kandanimizi etc na hoja za CDM.Mkuu katiba haijasema mikutano ya hadhara ni wakati wa uchaguzi tuu, wala sheria ya vyama haijasema hivyo!, alichosema rais Magufuli ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria, lakini katiba inapovunjwa au sheria na kanuni zinapokiukwa, hili sio jambo la maandamano wala mikutano ya hadhara, hili ni jambo la kisheria mahali sahihi ni mahakamani!.
Pasco