Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Sheria pia inatoa maelezo hayo ni utoto kuchagua vile vinavyokufaa wewe tu ndio maana kuna vyombo vyenye mamlaka ya kuuliza na kutoa tafsiri kipi sahihi kisheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh!!Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.
Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"
Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.
He should be careful of what he wish for!
Tafakari upya bro..Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.
Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"
Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.
He should be careful of what he wish for!
Acha mambo ya ugalatiaRitz .... Mmh ama kweli nimeamini Mussa Halipata kazi kweli kuwatoa wana wa Israel kule misri Ritz..
Mkuu katiba haijasema mikutano ya hadhara ni wakati wa uchaguzi tuu, wala sheria ya vyama haijasema hivyo!, alichosema rais Magufuli ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria, lakini katiba inapovunjwa au sheria na kanuni zinapokiukwa, hili sio jambo la maandamano wala mikutano ya hadhara, hili ni jambo la kisheria mahali sahihi ni mahakamani!.
Pasco
MUNGU akusaidie........maana umeongea kwa madaha utadhani mpigania uhuru miaka ya sitini........lakini nikikuuliza swali moja la msingi sijui kama utaweza lijibu.............mmmmmmmhmn ila ngoja nikuache ni heri ujifunze jwa vitendo......It never occurred to me that Pasco is a coward! He's scared of being gassed or sprayed with that pepper water. He's afraid of dying as if he thinks everybody'll live for lever. You were born once and there's a day you'll die.
Tumechoka kudanganywa kama watoto wadogo, huyu mkakonko hawezi kutupelekesha hivi bila kuhojiwa. Yeye anasema hapa kazi tu (kazi zenyewe ziko wapi) sisi tunasema tuko ngagari (cuf) na tutapambana hadi kieleweke (cdm).
Magufuli sio mungu na hawezi kuvaa na hana uzuri wowote wa kukomesha rushwa wakati anawalinda wezi wa Epa, Kiwira Coal Mines, Tegeta Escrow na huko kwenye vitalu vya gesi.
Tarehe 01 mwezi wa tisa mwaka 2016 operation UKUTA lazima itikise Tanzania. HERI KUFA WENGI ILI WATAOBAKI WAPATE MAISHA BORA
Hata me naona jela inawaita hawa vilaza wanaojifanya wanauchungu na nchi wakati tukipekua mafaili yao utagundua ni majupu......Bado hawajawai kuonja moto wa jiwe
Watu wanao kuita dikteta ikiwa wewe siyo dikteta
Nibora uwape moto wa udikteta
Ili liwe findisho .
HAWA JK KAWALEA SANA
WALI MTUKANA SANA
WALI MZONGA SANA
WACHA WAKIONE.
"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
Bonge la point.........umetoa maneno ya busara sana.....[emoji3]Ushauri wangu ni kwa Chadema kuachana na siasa za uanaharakati, the politics of confrontation, na badala yake wafanye real politics of development, Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye no sense ya busara zozote when it comes kwenye kumjaribu, Huyu ni mwenye nguvu akisema jambo fulani ni hapana na iwe hapana kweli hataki mchezo.
The right thing to do kwa Chadema ni kwenda mahakamani kuiomba mahakama kutoa tafsiri sahihi ya haki ya mikutano, freedom of lawful assembly, freedom of expression, na political activities hivyo kuonyesha tamko la rais ni batili na kinyume cha katiba na sheria lakini sio kumpinga rais kwa mikutano ya hadhara na matamko ya kutishana na kutunishiana misuli! .
Pasco
Mkuu Okw Boban Sunzu ni kweli uko tayari kufa kifo cha kweli au hiki cha kwenye keyboard tuu but in reality unakiogopa kifo hakuna mfano? !.Tupo tayari kufaaaa
Mkuu Hepi Fiti, kila kitu kipo kwenye sheria, taratibu na kanuni tena zipo kimaandishi kabisa kuwa mikutano ya hadhara popote na yoyote aliyesajiliwa rasmi ni haki yake, tamko la rais Magufuli kuuzuia ni tamko batili na hata rais alipofafanua kuwa hajazuia bali mikutano ifanywe na wabunge waliochaguliwa katika maeneo yao tuu pia ni tamko batili! . Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe yuko very right kuhusu haki ya kuandamana na haki ya kukusanyika na kufanya mikutano ya hadhara kwa mujibu wa sheria, lakini maadam mwenye nchi amesema hataki maandamano, then hakuna kibali chochote cha maandamano kitokacho tolewa kwa Chadema, wao wanadai wanaandamana tuu kwa kibali au bila kibali, ushauri wangu kwao ni watii amri halali, wasiandamane, maana watatandikwa tena na sio za rubber! ,bali za moto! , japo amri ya rais kutokuandamana ni amri batili, mamlaka pekee yenye uwezo wa kuutangaza ubatili huo sio Mbowe, sio maandamano, sio mikutano ya hadhara bali ni mahakama pekee! . Chadema wasiandamane bali waende mahakamani wakafungue shauri la kikatiba chini ya hati ya dharura, mahakama itatoa tafsiri sahihi ya tamko la rais na mamlaka ya rais kwa mujibu wa katiba hii rais Magufuli hana mamlaka ya kuuzuia maandamano wala mikutano ya hadhara, mahakama ikiisha tamka, ubatili wa katazo la rais, then serikali ndiyo mtekelezaji wa amri hiyo ya mahakama, itake usitake ila zile mamlaka za OCD wa eneo husika kuwajibika kutoa kibali na ulinzi kwenye maandamano hayo na mikutano hiyo ,uko pale pale.Mkuu hakuna kitabu cha siasa, sheria zinazoongelea utaratibu wa vyama vya siasa or even when not expressed; kwamba vya siasa vinajukumu la kuelemisha umma, kufanya mikutano yake ya kisiasa, kupinga hoja kandanimizi etc na hoja za CDM.
Sheria hizo hizo zinatoa njia halali kwanza ya kupinga hoja za serikari; either unaamini haki itatendeka or not bila ya kupitia taratibu hizo ni uvunjifu wa amani na serikari ina haki ya kulinda amani.
PS kutoa elimu ya siasa au kupinga hoja za serikari aina maana njia pekee ni mikutano ya hadhara tu. Tatizo hapa ni kuwa 'one trick pony'; sheria hizo hizo zinaipa serikari mamlaka ya kulinda amani sasa unapokuwa na lengo la kuchonganisha kama kauli ya Mbowe unategemea wakae kimya? Watu kufanya kazi yao ni udikteta pia hizi ni kwa definition za CDM tu.
Mkuu Gamba la Nyoka, sio double standards bali ndio kitu kinachoitwa separation of powers kati ya mihimili ya dola kwa lengo la kufanya checks and balance kwa sharia atunge mwingine, tafsiri afanye mwingine na utekelezaji ufanywe na mwingine tena! .Sasa Pasco hizo ni double Standard!
kama wewe binafsi bila ya Kwenda mahakamani Umeconclude kuwa jamaa amevunja katiba na sheria, Then kwa nini unadhani na wengine hawawezi kuliona hilo mpaka litamkwe na mahakama?
Mkuu Pasco, binafsi ili swala siliungi mkono eti kwa sababu ya kauli ya juzi bali naamini hizi sio siasa na ni mmoja wa watu wachache sana niliodhani JK alikuwa anawachekea sana na kuuponda mtazamo wake kwenye hili tangia yuko madarakani.Mkuu Hepi Fiti, kila kitu kipo kwenye sheria, taratibu na kanuni tena zipo kimaandishi kabisa kuwa mikutano ya hadhara popote na yoyote aliyesajiliwa rasmi ni haki yake, tamko la rais Magufuli kuuzuia ni tamko batili na hata rais alipofafanua kuwa hajazuia bali mikutano ifanywe na wabunge waliochaguliwa katika maeneo yao tuu pia ni tamko batili! . Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe yuko very right kuhusu haki ya kuandamana na haki ya kukusanyika na kufanya mikutano ya hadhara kwa mujibu wa sheria, lakini maadam mwenye nchi amesema hataki maandamano, then hakuna kibali chochote cha maandamano kitokacho tolewa kwa Chadema, wao wanadai wanaandamana tuu kwa kibali au bila kibali, ushauri wangu kwao ni watii amri halali, wasiandamane, maana watatandikwa tena na sio za rubber! ,bali za moto! , japo amri ya rais kutokuandamana ni amri batili, mamlaka pekee yenye uwezo wa kuutangaza ubatili huo sio Mbowe, sio maandamano, sio mikutano ya hadhara bali ni mahakama pekee! . Chadema wasiandamane bali waende mahakamani wakafungue shauri la kikatiba chini ya hati ya dharura, mahakama itatoa tafsiri sahihi ya tamko la rais na mamlaka ya rais kwa mujibu wa katiba hii rais Magufuli hana mamlaka ya kuuzuia maandamano wala mikutano ya hadhara, mahakama ikiisha tamka, ubatili wa katazo la rais, then serikali ndiyo mtekelezaji wa amri hiyo ya mahakama, itake usitake ila zile mamlaka za OCD wa eneo husika kuwajibika kutoa kibali na ulinzi kwenye maandamano hayo na mikutano hiyo ,uko pale pale.
Kiukweli anachofanya rais Magufuli ni ubabe tuu, yeye kama rais hana sababu ya kupigishana kelele na vijitu vidogo kama kina Mbowe! ,watu ambao hawana mamlaka yoyote ya kidola, alichopaswa kufanya Magufuli, ni maadam ameamua hataki mikutano ya hadhara, yeye kama rais kwa kuitumia his government machinery anamuelekeza IGP kuwaeleza ma OCD wote wasitoe kibali chochote cha maandamano wala mikutano, kwa excuse yoyote iwe ni hatuna polisi wa kutosha kusimamia ulinzi, au tuna taarifa za kiinteligensia za uvunjifu wa amani! . That is the end! . Hakuna mwenye kibali kuhoji kuhusu taarifa hizo za kiinteligensia, bali hakutafanyika maandamano wala mikutano ya hadhara ,kinyume cha hapo ni kucheza na moto! .
Hii ingekuwa kimya kimya tuu, jamaa yetu huyu kutaka masifa kutamponza, he is a populist leader hivyo maamuzi ya masifa ndio order of the day! . Niliwahi kusema mahali nchi hii haihitaji one man shows, tutahitaji systems in place! .
Mfano hicho kituo cha mabasi ambacho kimekamilika lakini Sumatra hawajatoa kibali cha kuanza kutumika, rais katoa amri kianze leo na kusema yeye ndio rais hao Sumatra hata kama wako mbinguni washuke kituo leo kianze kazi! . Kama tungekuwana system in place, kazi ya ujenzi kimekamilika tuu inafuatiwa na commissioning na kama kuna good reasons why not inajulikana na kuwa taken care of!.
Haya ndio yale yale ya ile ward ya wazazi pale Muhimbili ya vitanda na magodoro ya ule mchapalo wa Bunge jipya kumbe jengo halina choo wala maliwato! ,Mama mjamzito na drip anekwenda nje kujisaidia, what a joke! , kisa masifa tuu! .
Huku kutunishiana misuli kati ya mwenye nguvu na kapuku, kapuku ataumia bure!, mwenye nchi amewasisitiza hao viongozi wa vyama safari hii maandamano hayo wayaongoze wao na sio kuwaachia makapuku halafu washuhudie atakachowafanya!. Kiukweli mwenye nguvu mpishe, Ngosha hana mchezo wala hatanii atawatandika kiukweli kweli tena bila huruma. Sisi wengine kazi yetu ni kusema tuu kwa lengo la kuwasaidia nyumbu tuu wasiojielewa! .
Pasco
Na wana mwanasheria nguli kuliko wote Tanzania.Ushauri wangu ni kwa Chadema kuachana na siasa za uanaharakati, the politics of confrontation, na badala yake wafanye real politics of development, Magufuli ni dikiteta mzalendo mwenye no sense ya busara zozote when it comes kwenye kumjaribu, Huyu ni mwenye nguvu akisema jambo fulani ni hapana na iwe hapana kweli hataki mchezo.
The right thing to do kwa Chadema ni kwenda mahakamani kuiomba mahakama kutoa tafsiri sahihi ya haki ya mikutano, freedom of lawful assembly, freedom of expression, na political activities hivyo kuonyesha tamko la rais ni batili na kinyume cha katiba na sheria lakini sio kumpinga rais kwa mikutano ya hadhara na matamko ya kutishana na kutunishiana misuli! .
Pasco