Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

..Ssh ndiye aliyetuma wahuni kama Sheikh Mwaipopo kukashifu dini za wengine.

..Sasa ameona mbinu hiyo imeshindwa anakuja hadharani na kuwaruka aliokuwa akiwatumian
sasa Sheikh Mwaipopo ndio ndio kawaelekeza Wazee wa TEC waache kusoma Waraka?
 
Kwa bahati mbaya sana Samia na wafuasi wake hawaelewi kuwa ukiwa mwanasiasa halafu ukabahatisha ukawa Rais wa nchi wewe ni “ Public Good “ hivyo kukosolewa na wananchi wako kwa maamuzi unayofanya comes in your job description!!
Sasa kumuita Samia mtu asiyekuwa makini na hajui mambo kwa kifupi “ mpumbavu” sio kumtukana bali kusema ukweli !

Ahadi moja wapo ya wanaccm wa kweli ni “ Kusema kweli daima na fitina kwao mwiko”! Hii ilikuwa kwa ccm Asilia wakati huo kuingia chama hicho ilikuwa sio rahisi tofauti na leo ccm ina wanachama wasiojua maadili ya chama hicho na wengine wanapata uongozi ili hali ni mafisadi hivyo kukinajisi chama pamoja na serikali yake!
 
Kipindi cha Luther kilikuwa ni kipindi cha harakati za kujikomboa lakini kipindi hiki ni Cha maendeleo Sasa mkaleta siasa za ukombozi watatushangaa
Sio cha kuwa na Chama kimoja kwa muda mrefu. Maendeleo ya jamii huanza kwenye maendeleo ya kisiasa, pale Marekani ushawahi ona chama kimoja kinadumu madarakani muda mrefu?

Kuna faida kubwa kama kuna kupokezana kwa vyama unless tuingie kwenye communism kama China na tuweke sheria ya kifo Kwa fisadi yeyote hata kama aliwahi kuongoza nchi.
 
Kabla mdude hakuwepo, CCM na polisi wakaamua kumtengeneza mdude, mdude katengenezeka sasa watengenezaji wanaanza kulalama kwamba yuko auti ovu kontro!
 
Kama HAKI inapatikana kwenye SHERIA, kwann Rais, Spika hawashtakiwi mahakamani?

Maandamano ya HAKI yasiyo na UKOMO ndo yatasaidia tupate Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya ya Kweli.
 
sasa Sheikh Mwaipopo ndio ndio kawaelekeza Wazee wa TEC waache kusoma Waraka?

..Tec wamekosoa mkataba na Dp. Hawajashambulia dini ya mtu.

..Ssh katuma wahuni akiwamo Shekhe Mwaipopo kushambulia imani za watu.

..Ssh tena akatuma wahuni kama Maulidi Kitenge, Zembwela, Steve Nyerere, kutukana wanaokosoa mkataba na Dp.

..Kwanini asitumie CHAMA kutetea mkataba huo? Kwanini CCM hawatetei mkataba huo badala yake wanatumika wahuni?
 
💪💪💪
Your browser is not able to display this video.
 
Nyie mkikosoa mnatumia haki zenu, wenzenu wakiwakosoa wanatumiwa.

Msipozoea kukosolewa mtazoweshwa!
 
Putulu putulu hatunywi sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa Mbele

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Me ninachokiona kwa mdude anafanya harakat zake km mwanaharakati huru japo ni mwanachadema ila sijawah kumsikia akisema sisi chadema blah blah,zaidi ya yote namtakia kila la heri aendeleee na mapambano yake,tutajumuika nae atakapotuhitaji
 
Unaandika thread za kutisha watu?, hopeless kabisa
Kama kuna kosa Mdude anafanya hatua za kisheria zichukuliwe,apelekwe mahakamani,mahakama ikamtie hatiani,si vinginevyo
 
Mdude kama aliweza kufanya haya kwa Jiwe, nazi haiwezi kumpa tabu
 
Nyie mkikosoa mnatumia haki zenu, wenzenu wakiwakosoa wanatumiwa.

Msipozoea kukosolewa mtazoweshwa!

..sio kweli.

..wasiopenda kukosolewa ni Ccm.

..Na hutumia vyombo vya dola kushughulikia wakosoaji.
 
Rais Samia hana mamlaka ya kuruhusu wala kuzuia mikutano ya kisiasa.

Katiba yenyewe imeruhusu.
 
Yaani atajuta kuzaliwa kama uvumilivu wake utafika mwisho kwa kumuua mdude Nyagali..

Maana atamuua huyo, lakini yatazaliwa ma - Mdude Nyagali mengine kadhaa yatakayomuudhi na kumkera mara 100 zaidi kuliko anavyokerwa na Mdude huyu mmoja..

Na kwa kifupi, kiongozi asiyweza kuvumilia dissent voices na badala anataka kuzijibu kwa bunduki na risasi za polisi wake, basi huyo hafai kuwa kiongozi..!

Mwambie hivi, kama uvumilivu umemshinda atoke kwenye nafasi hiyo na badala yake aende akalee wajukuu wake (kama anao) huko Kizimkazi nchini kwake Zanzibar..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…