ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Alivyodhibitiwa kipindi kile Cha Mwendazake alikoma,Sasa hivi ameanza tena Kwa spidi kubwa.Yaani atajuta kuzaliwa kama uvumilivu wake utafika mwisho kwa kumuua mdude Nyagali..
Maana atamuua huyo, lakini yatazaliwa ma - Mdude Nyagali mengine kadhaa yatakayomuudhi na kumkera mara 100 zaidi kuliko anavyokerwa na Mdude huyu mmoja..
Na kwa kifupi, kiongozi asiyweza kuvumilia dissent voices na badala anataka kuzijibu kwa bunduki na risasi za polisi wake, basi huyo hafai kuwa kiongozi..!
Mwambie hivi, kama uvumilivu umemshinda atoke kwenye nafasi hiyo na badala yake aende akalee wajukuu wake (kama anao) huko Kizimkazi nchini kwake Zanzibar..!!
Kwa mfano unampumxisha ndani tuu kwani haiwezekani? Labda ni project