Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

Alivyodhibitiwa kipindi kile Cha Mwendazake alikoma,Sasa hivi ameanza tena Kwa spidi kubwa.

Kwa mfano unampumxisha ndani tuu kwani haiwezekani? Labda ni project
 
Alivyodhibitiwa kipindi kile Cha Mwendazake alikoma,Sasa hivi ameanza tena Kwa spidi kubwa.

Kwa mfano unampumxisha ndani tuu kwani haiwezekani? Labda ni project

..kwanini mtumie magereza na mahabusu ku-deal na watu wanaokosoa Chama na Viongozi wenu?

..mbona vyama vingine vinakosolewa na maisha yanaendelea, hawakamati, wala hawatesi wakosoaji wao?
 
Alivyodhibitiwa kipindi kile Cha Mwendazake alikoma,Sasa hivi ameanza tena Kwa spidi kubwa.

Kwa mfano unampumxisha ndani tuu kwani haiwezekani? Labda ni project
Hamjui anakopatikana kwani?

Nimesema, huyo Mdude atapumzishwa ndani yako. Lakini wataibuka ma - Mdude mengine 100 zaidi na kumkera zaidi huyo mama yenu..

Kumbe huyu mama yenu afanyeje sasa?

Akubali kuwa kiongozi. Kiongozi/ukubwa ni jalala. Hataki kuwa jalala, aachie ngazi akakae nyumbani kwake kwa uhuru anaotaka..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…