LGE2024 Ushauri kwa CHADEMA: Susieni uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wasuse ili vyama mapandikizi vishirili kuhalalisha uchaguzi mana bila chadema sisiemu hawana haja yakuchakachua sehemu yoyote hivyo wanauwezo wakufanya uchaguzi huru kabisa mbele ya camera ila wakishakuwepo chadema habari inabadilika hivyo nikuendelea kupambana huku gari linatembea haina kususa
 
Mbona unaropoka?. Wewe umejuaje yaliyomo kwenye uchunguzi?.
historia ya uchaguzi wa ndani wa chadema iko wazi na ina sura hiyo, ambayo kwa nguvu kubwa chadema mnataka kuihamishia kwenye vyombo vya ulinzi nchi kitu ambacho ni upotoshaji kabisa...

ndio maana nakuandaa kisaikolojia kwamba matokeo ya uchunguzi yanaweza kuishangaza chadema zaidi. Umdhania ndie kumbe sie. Relax 🐒
 

Dah! Shida Sana kwa CHADEMA. Kila mtu kamgeuka.
 

Ok mkuu
 

Acha kutetea dhurma. Kama CHADEMA wanahusika wangekuwa wamekamatwa. Huyo Rais wenu kakiri inteligensia yote ipo CHADEMA
 
Kushiriki uchaguzi kwa CHADEMA ni kubariki Samiah kukaa madarakani.
 
Acha kutetea dhurma. Kama CHADEMA wanahusika wangekuwa wamekamatwa. Huyo Rais wenu kakiri inteligensia yote ipo CHADEMA
hakuna haja ya kuweweseka gentleman, wala hakuna kubababika..

ni muhimu mambo ya maana yakafanyika taratibu kwa umakini, uhakika na usahihi ili asionewe mtu wala kudhulumiwa.

haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed kibao lazima zipatikane hata kama wahusika watajaribu kudindia wito wa vyombo vya uchunguzi, watalazimishwa kwa nguvu kufanya hivyo mpaka ukweli ujulikane, licha ya kwamba watajibu pia siku ya hukumu mbele za Mungu 🐒..

dah ni aibu na fedheha sana
 
Kushiriki uchaguzi kwa CHADEMA ni kubariki Samiah kukaa madarakani.
Kamanda haitaka itokee chadema waache kushiriki uchaguzi au umesahau kuwa nyumbu kama Lema hana maisha nje ya siasa hata mzee mbowe?
 
Kushiriki uchaguzi kwa CHADEMA ni kubariki Samiah kukaa madarakani.
Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi na tumaini pekee la waTanzania wote,

atakuwepo madarakani tu, chadema ishiriki au isishiriki uchaguzi wowote ule nchi. Vyama vingine zaidi ya 20 si watashiriki kwani kuna tatizo gani...

inafahamika wazi chadema kuna ukata mkubwa, hamna fedha wala sera kwaajili ya uchaguzi huo. Na hivyo ni busara kukaa kando, kuachia vya vinginevyo vidogo vidogo pia kupata fursa za uongozi,

Na chadema ikajipanga kwa uchaguzi mwingine mfano 2030 itapendeza zaidi 🐒
 
Tuhitaji uchaguzi wa serikari za mtaa kuliko uchaguzi mkuu , wenye akili wataelewa hili
 
Alafu nyie ccm , kama sensa matangazo yalikua mengi kwa nini swala la kuandikisha mnaenda kimia kimia ? Safari hii hamuibi kura ,
 
ASIPOSHIRIKI CHADEMA HAKUNA SHIDA KUNA VYAMA VINGI TU VIT SHIRIKI VILIVYO TAYARI KWA UCHAGUZI
 
CHADEMA wagomee uchaguzi. Ili kushinikiza ajenda yao ya kupata uwajibikaji wa walihusika na utekaji.
WASUSE LAKINI WAJUE UCHAGUZI UKIPITA MPAKA MIAKA MITANO TENA WASUBIRI HAUFANYIKI KILA SIKU HUU HIZO AKILI ZA KI NDEZI KABISA
 
Fisi hasusiwi mzoga wala haachiwi bucha.. Kumbuka kuna vyama 15 mamluki hivi vinaweza kupewa mbunge mmoja mmoja na waka justify uchaguzi ulikuwa shirikishi huru na wa haki
 
Kwako mwana CCM ni mawazo ya kipuuzi. Ila kwa CHADEMA ni mawazo sahihi, maana lengo ni kuuchakachua huu uchaguzi ili kuonesha mama Samiah anakubalika.
Sawa. Basi wafuate mawazo yako tuone nani atakuwa fuc&Ed up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…