UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mara moja moja huwa unatoa mawazo mazuri sana. Eti jamaa anawashauri msusie, nyie mkisusa wengine wanakula.Fisi hasusiwi mzoga wala haachiwi bucha.. Kumbuka kuna vyama 15 mamluki hivi vinaweza kupewa mbunge mmoja mmoja na waka justify uchaguzi ulikuwa shirikishi huru na wa haki