UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Sep 25, 2024 #81 Mshana Jr said: Fisi hasusiwi mzoga wala haachiwi bucha.. Kumbuka kuna vyama 15 mamluki hivi vinaweza kupewa mbunge mmoja mmoja na waka justify uchaguzi ulikuwa shirikishi huru na wa haki Click to expand... Mara moja moja huwa unatoa mawazo mazuri sana. Eti jamaa anawashauri msusie, nyie mkisusa wengine wanakula.
Mshana Jr said: Fisi hasusiwi mzoga wala haachiwi bucha.. Kumbuka kuna vyama 15 mamluki hivi vinaweza kupewa mbunge mmoja mmoja na waka justify uchaguzi ulikuwa shirikishi huru na wa haki Click to expand... Mara moja moja huwa unatoa mawazo mazuri sana. Eti jamaa anawashauri msusie, nyie mkisusa wengine wanakula.