Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba najua, ndo maana logic yangu imejikita kwenye kutogombea ili bungeni awe mbunge wa kawaida.mkuu kwani huijui katiba ya nchi..inatamka vipindi vya uongozi ni awamu mbili tu za miaka mitano mitano..ina maama hata ww hujui majaliwa ameanza kuwa PM lini si tangu 2015 alianza na JPM hadi sasa ni miaka 10 inatimia hivyo anastaafu kwa mujibu wa katiba baada ya vipindi viwili vya uwaziri mkuu..sasa ni vp ww useme eti anapigwa chini mara ooh hatakiwi..au mwezetu PM majaliwa umemjua wakati huu wa samia wakati yupo kwenye u PM ni miaka 10 sasa..amka usingizini ww
It might be!!PM wa mwezi october ni kati ya DMB na MLN note my words.
Hawezi kuwa mjinga kama wewe mtoa mada.Heshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
Mkuu aksante sana Ubarikiwe kwa matusi!!Hawezi kuwa mpumbavu kama wewe mtoa mada.
Excutive power kuadabisha wezi ipo mikononi mwa nani???Majaliwa ni msimamizi wa shughuli zote za serikali lakini wizi serikalini umetamalaki, matumizi ya hovyo na ufisadi tupu, nchi imejaa vijana wakubet tupu, Simba na Yanga, haoni aibu Tanzania kuagiza ngano, mchele, mafuta, sukari nje n.k?
Mbona Mwinyi kule Zenji anaenda 15Kwani Majariwa si kamaliza miaka yake kumi ya kuwa PM kwa anataka tena? yaani iwe 15 mpaka 2030??
Majaliwa ana uwezo wa kutosha kupima mambo na kufanya maamuzi sahihi haitaji ushauri wako .Heshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
Unafikiri nimeandika kwamba nimeombwa ushauri?? la hasha!!Majaliwa ana uwezo wa kutosha kupima mambo na kufanya maamuzi sahihi haitaji ushauri wako .
Kawawa alukuwa waziri mkuu kwa muda mrefu lakini aliwahi kubadilishwa na akawa waziri wa kawaida na akiendelea na ubunge. Msuya na Malecela waliwahi kuwa mawaziri wakuu na waliondolewa wakaendelea kuwa back benchers bungeni, sasa nini cha ajabu ikiwa Rais ataona inafaa ampe mtu mwingine jukumu la uwaziri mkuu.
Nchi hii vyeo vya juu vinatolewa kwa kuangalia vigezo mbakimbali ikiwemo uwiano wa kidini ili kuleta utulivu.
Ili mtu aweze kuwa mchambuzi mzuri ni vyema akapitia literature review ya jambo analitaka kulitolea maoni kabla ya kuàndika.
Naona wewe ni mgeni Tanzania, Kuna mambo hayapo katika maandishi ,hayajawa Institutionalized, lakini yanafanyika kubalance kwa ajili ya National Interest.Umeharibu ulipoanza kuleta udini tu kwani sisi tunachagua ma askofu au ma sheikh?
Hatuna wote uhakika kama huyu maza atakuwa rais tenaSawa ubunge agombee tu, ila mkataba wa kuwa PM umeisha awaachie wengine au alitaka kugombea uraisi aseme tu
Shabani naona analinyemelea Jimbo la Ndanda,, Yuko na projects nyingi sana pale..Ushauri mzuri sana. Ila kama anajipata sawa sawa angemaliza uwaziri wake mkuu akapumzika ale pesa zake alizowekeza. Shabani mpwa wake mzee wa ulisi wa ruge angeachiwa achukue jimbo
Kiongozi hatakiwi kuwa muongo kwa Taifa analoliongoza! Majaliwa aliliongopea Taifa kuhusu kifo cha Magu ; that disqualifies him from any leadership position.Unaweza kutoa evidence??
Hakuwa na mmlaka ya kutoa Tangazo la kifo, msiba wa Kitaifa , mwenye mamlaka balikuwa makamu wa Rais AMBAYE nkikatiba ndiye Rais.Kiongozi hatakiwi kuwa muongo kwa Taifa analoliongoza! Majaliwa aliliongopea Taifa kuhusu kifo cha Magu ; that disqualifies him from any leadership position.
Sijamjibia nimejibu hoja yako maananunafikiri uko katika better position kuelewa situation kuliko Majaliwa mwenyewe.Unafikiri nimeandika kwamba nimeombwa ushauri?? la hasha!!
Ushauri sio shurti mtu anaweza kuchukua au akaukataa pia.
Vipi wewe amekuambia umjibie kuwa haitaji ushauri?? au umeamua kutoa maoni yako??🤔🤔
Nimeandika nikiwa na background ya mawaziri wakuu waliomaliza muda, ndo maana nmeona wakati wa sasa sio vyema kuwa na Waziri Mstaafu akihudumu kama mbunge wa kawaida bungeni.
Sbinafsi naona sio vema yeye kupitia mkondo wa Msuya, kawawa, warioba ,malechela.
Zama zimebadilika, by the way response yako imekosa LOGIC Kabisa!!!
Jitahidi sana kutumia logic unapoandika, kama unaelewa LOGIC lakini!!🤔🤔🤔
tayari washampitisha huko,watahakikisha hata kwa kuuanaHatuna wote uhakika kama huyu maza atakuwa rais tena