Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Una I'd ya kike na utoto mwingi kama kawaida ya walimu angekuwa mtu wa kozi nyingine asingefanya hayaKama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching practice).
Sasa kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer maana nmebaki na semester tatu tu mbele yangu nataka nikaze nipate GPA 4.0 kwa semester zote zilizobaki ili nipate GPA isiyopungua 3.8, SWALI JE HIYO 3.8 ILIHITAJIKA TOKA SEMESTER YA KWANZA AU HAPO KWA MATOKEO HAYO NIKIKAZA NIKIFIKA 3.8 OVERALL NTAKUA NIMEFUZU VIGEZO VYA KUA LECTURER?
Kuna shida sehemu kwenye vyuo vya ualimu huenda kuna somo wanafundishwa ndio maana wanakua kama mazezetaUna I'd ya kike na utoto mwingi kama kawaida ya walimu angekuwa mtu wa kozi nyingine asingefanya haya
USSR
Toa ushaur vichambo vyann naww mwanaume?Kupinga ndoa na muendelezo wa sentensi yako vinahusianaje? Au unahisi malecture wanapinga ndoa pia?
3.8 overall muzeye.Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching practice).
Sasa kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer maana nmebaki na semester tatu tu mbele yangu nataka nikaze nipate GPA 4.0 kwa semester zote zilizobaki ili nipate GPA isiyopungua 3.8
SWALI JE HIYO 3.8 ILIHITAJIKA TOKA SEMESTER YA KWANZA AU HAPO KWA MATOKEO HAYO NIKIKAZA NIKIFIKA 3.8 OVERALL NTAKUA NIMEFUZU VIGEZO VYA KUA LECTURER?
Una I'd ya kike na utoto mwingi kama kawaida ya walimu angekuwa mtu wa kozi nyingine asingefanya haya
USSR
Kuna sehemu nimekuchamba au kuuliza nako ni kuchamba. Tushakujua kozi uliochukua ndio tatizoToa ushaur vichambo vyann naww mwanaume?
Kwahyo hapo nikaze tu mahesabu ya mwsho ( wastani ndo muhimu mkuu)3.8 overall muzeye.
Kozi inahusiana nn na hisia za mtuKuna sehemu nimekuchamba au kuuliza nako ni kuchamba. Tushakujua kozi uliochukua ndio tatizo
SawaMdogo wake Milembe
3.5 mkuu wanachukuaKuanzia 3.5 tayari unakuwa na vigezo kuwa lecture!
Ila ikiwa 4. Something inakuwa nzuri zaidi for competition matters.
Go hard.
Vile vya uchochoroni. Hivi vikubwa ni competitive sana.3.5 mkuu wanachukua
Hujaelewa wapi mrembo3.5 mkuu wanachukua
Kama unataka kuwa TA then chuo utakachofanya kazi watakwambia ukasome nini.Na masters naweza piga nn? Msaada wazee sitaki nmalize chuo ndo nije kuuliza masters nisome nn
Vya uchochoron kama vipi? Mm nachotaka ni mshahara wangu usome tu kwenye akanti hata kama ntafundsha TEKUVile vya uchochoroni. Hivi vikubwa ni competitive sana.