Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
- #41
Kabsa tofauti ya chuo na sekondar ni hyo tu, kupunguza ujuaji tu unatoboa lakn ukijfanya kipanga unaandka mambo ambayo hajafundshwa unapotea mazmaHi komenti yako imenikumbusha 1st year nilivyo kua najikuta bingwa wa other sources
Niliona Moto ikabidi nimfuate anavyotaka juha yule.
Mfano sasa hv vyuo ving malecture wanatoa slides za ppt sasa ukisoma unavovijua ww wakitoa maswali ya short answers, matching items, multiple choices na true and false una asilimia 90 yakukosa yote, na kiuhalisia ungekomaa na slides zake ungepata hata 6/10