Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching practice).

Sasa kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer maana nmebaki na semester tatu tu mbele yangu nataka nikaze nipate GPA 4.0 kwa semester zote zilizobaki ili nipate GPA isiyopungua 3.8, SWALI JE HIYO 3.8 ILIHITAJIKA TOKA SEMESTER YA KWANZA AU HAPO KWA MATOKEO HAYO NIKIKAZA NIKIFIKA 3.8 OVERALL NTAKUA NIMEFUZU VIGEZO VYA KUA LECTURER?
View attachment 2602375View attachment 2602376View attachment 2602377View attachment 2602378
Unataka kuwa lecturer wa kozi gani?
 
Vyuo gani hivi mnavyopata ma GPA makubwa makubwa aisee. Muhas nilitoka na ka gpa kadogo hadi nikashangaa tofauti na huko secondary nivo kua napasua
Mkuu yaan hata mm washikaj zangu weng hivyo vyuo vyao nadhan ni mtelemko sana yaan wengi gpa zao zinacheza kuanzia 4.0 na kuendelea . Sasa mm A level nilikua na one but chuo udsm niliishia kupata gpa ya 3.0 pamoja na kukomaa sana.
 
UDSM ni sayari nyingine, ndo maana hao SEKUCO, TEKU na wapi sijui wanalia hata Law School tu.
 
Kuwa lecturer?

Au Tutorial Assistant (TA)?

Mimi ninavyojua kuwa lecturer ni mpaka uwe na Ph.D.....

Tena unaanzia Assistant Lecturer halafu unapanda ngazi....

Kuwa TA kaza msuli kidogo uvuke 4.0...ungekuwa siriazi hata first class ungepata....
TA si inaanzia 3.8?? au
 
Mkuu yaan hata mm washikaj zangu weng hivyo vyuo vyao nadhan ni mtelemko sana yaan wengi gpa zao zinacheza kuanzia 4.0 na kuendelea . Sasa mm A level nilikua na one but chuo udsm niliishia kupata gpa ya 3.0 pamoja na kukomaa sana.
Ilikua course gani??
 
UDSM ni sayari nyingine, ndo maana hao SEKUCO, TEKU na wapi sijui wanalia hata Law School tu.
Mkuu we acha tu!!!!! Udsm noma sana. Huwez amin ni zaid ya miaka kumi toka nimalize pale lakini mpaka leo neno UDSM nikilisikia mwili unasisimka
 
Hakuna complications,
Kuna MA-TA ambao wanakusaidia wewe pale chuoni,
Tofauti na UDOM &SUA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavyo visema hapa ni tofauti na uhalisia uliopo huku sehemu husika.

Sijui labda inategemea na faculty. Nisibishe sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mnavyo visema hapa ni tofauti na uhalisia uliopo huku sehemu husika.

Sijui labda inategemea na faculty. Nisibishe sana.
Labda kwan we faculty yako ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom