Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Wanaobaki vyuoni baada ya kupata degree yenye GPA kubwa huwa wanaanza na TUTORIAL ASSISTANT

Huwezi kuwa hata assistant lecturer kisa undergradute umescore degree yenye GPA kubwa
Naongelea masters mkuu maana kua lecturer kigezo kikubwa si wanatazama undergraduate ulifanyaje au nmekosea?
 
Kuwa lecturer?

Au Tutorial Assistant (TA)?

Mimi ninavyojua kuwa lecturer ni mpaka uwe na Ph.D.....

Tena unaanzia Assistant Lecturer halafu unapanda ngazi....

Kuwa TA kaza msuli kidogo uvuke 4.0...ungekuwa siriazi hata first class ungepata....
 
Mambo mengi nimeoa ( nakaa nae tu) huku nategemea boom na nyumbani hawajui kwahyo usiriaz wangu ndo umeishia hapo
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching practice).

Sasa kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer maana nmebaki na semester tatu tu mbele yangu nataka nikaze nipate GPA 4.0 kwa semester zote zilizobaki ili nipate GPA isiyopungua 3.8, SWALI JE HIYO 3.8 ILIHITAJIKA TOKA SEMESTER YA KWANZA AU HAPO KWA MATOKEO HAYO NIKIKAZA NIKIFIKA 3.8 OVERALL NTAKUA NIMEFUZU VIGEZO VYA KUA LECTURER?
View attachment 2602375View attachment 2602376View attachment 2602377View attachment 2602378
Vyuo gani hivi mnavyopata ma GPA makubwa makubwa aisee. Muhas nilitoka na ka gpa kadogo hadi nikashangaa tofauti na huko secondary nivo kua napasua
 
Una 3. Kadhaa afu unawaza uhadhiri?
Nani kakuambia na kibachela chako unakuwa mhadhiri?
Labda uhadhiri wa kuku. Stupid wewe
 
Vyuo gani hivi mnavyopata ma GPA makubwa makubwa aisee. Muhas nilitoka na ka gpa kadogo hadi nikashangaa tofauti na huko secondary nivo kua napasua
GPA kubwa kusoma kwako na ufatiliaje wako lecturer anataka nn, kama ukijifanya mjuaji chuo inakula kwako principle ni kwamba fanya kazi zake kw wakati soma notes zake kama anatoa kama hatoi notes jitahid kukaa mbele na simu rekodi kwenye simu anachofundisha ukirudi home andaa notes mwenyw au kama upo sharp unaweza kuandika hapohapo anapofundisha ndo utafaulu GPA kubwa.

nb:ukjifanya mjuaji chuo et kipanga hutoboi kamwe
 
Kuwa na GPA kubwa sio kipimo Cha akili kubwa
Na kusoma sana sio kipimo Cha kufanikiwa kimaisha
Kikubwa muombe mungu wako ukimaliza chuo akupe riziki kubwa na ndogo
NB: kusoma nijambo lingine na ajira/kazi ni jambo lingine maliza chuo kwanza mdogo wangu utaona uhalisia mwenyewe
 
Skupingi kabsa sema mm stegemei kabsa kuajiriwa nilipo hapa ni fundi simu na mwezi ujao nafungua PlayStation centre
 
GPA kubwa kusoma kwako na ufatiliaje wako lecturer anataka nn, kama ukijifanya mjuaji chuo inakula kwako principle ni kwamba fanya kazi zake kw wakati soma notes zake kama anatoa kama hatoi notes jitahid kukaa mbele na simu rekodi kwenye simu anachofundisha ukirudi home andaa notes mwenyw au kama upo sharp unaweza kuandika hapohapo anapofundisha ndo utafaulu GPA kubwa.

nb:ukjifanya mjuaji chuo et kipanga hutoboi kamwe
Hi komenti yako imenikumbusha 1st year nilivyo kua najikuta bingwa wa other sources
Niliona Moto ikabidi nimfuate anavyotaka juha yule.
 
Back
Top Bottom