Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

Mkuu we acha tu!!!!! Udsm noma sana. Huwez amin ni zaid ya miaka kumi toka nimalize pale lakini mpaka leo neno UDSM nikilisikia mwili unasisimka
Yaani pale GPA ya 4.00 kwa kozi yoyote ni bonge la kipanga.
 
Komaa kijana soma vitabu vingi sana punguza kutumia muda mrefu social network kama ukiingia jamii forum na kwingine patumie kama burudani tu na si vinginevyo heshimu vitabu navyo vitakuheshimu, tafuta njia ya kukuza uelewa wa lugha ya mzungu(English),Mwisho pafanye library kuwa ndio rafiki yako wa karibu siku ukishindwa kusoma Academic books soma hata magazines usisahau ukisoma sana chuoni kuna muda utajigundua akili yako kama unataka kuwa chizi jitahidi kucontrol emotional stress, Usisahau kupata tiba ya wanawake unapohitaji ila usipende,mwisho jiandae kusoma Masters,Kisha kwa ufaulu huo utakuwa lecture bora kijana don’t give up.Yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom