Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #41
Kabsa tofauti ya chuo na sekondar ni hyo tu, kupunguza ujuaji tu unatoboa lakn ukijfanya kipanga unaandka mambo ambayo hajafundshwa unapotea mazmaHi komenti yako imenikumbusha 1st year nilivyo kua najikuta bingwa wa other sources
Niliona Moto ikabidi nimfuate anavyotaka juha yule.
UDSMVyuo gani hivi mnavyopata ma GPA makubwa makubwa aisee. Muhas nilitoka na ka gpa kadogo hadi nikashangaa tofauti na huko secondary nivo kua napasua
Vyuo vya serikali malecture weng ni wazee na vilaza wanapenda watu wafeli, wapo outdated , mabepari na wapenda sifa tu.UDSM
Usisome UDOM NA SUA
Mm kwenye kufundisha nipo vzuri sanaU lecturer ni Talent/Kipawa anachokupa Mwenyezi Mungu... kila mtu hapa duniani amepangiwa kuwa nani... Relax..
Spana balaaUna I'd ya kike na utoto mwingi kama kawaida ya walimu angekuwa mtu wa kozi nyingine asingefanya haya
USSR
Nimecheka Kwa saut.....Mm
Vyuo vya serikali malecture weng ni wazee na vilaza wanapenda watu wafeli, wapo outdated , mabepari na wapenda sifa tu.
Ushauri ukitaka mafanikio nenda private utafurahi sema ada yake ni 2m kwa ualimu, we Serikalin huko lecturer anatunga mtihan yeye mwenyew kuufanya hawezi
Ndo uhalisia wanataka kufia kwenye conference room hawatak kukubali matokeo kwamba muda umewatupa mkono na wengne hata kutumia kompyuta wamesahau lakn ving'ang'anizi wanataka kufelisha watoto wa watuNimecheka Kwa saut.....
Hapana LEACTURE wana master degreeKama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching practice).
Sasa kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer maana nmebaki na semester tatu tu mbele yangu nataka nikaze nipate GPA 4.0 kwa semester zote zilizobaki ili nipate GPA isiyopungua 3.8
SWALI JE HIYO 3.8 ILIHITAJIKA TOKA SEMESTER YA KWANZA AU HAPO KWA MATOKEO HAYO NIKIKAZA NIKIFIKA 3.8 OVERALL NTAKUA NIMEFUZU VIGEZO VYA KUA LECTURER?
View attachment 2602382View attachment 2602383View attachment 2602384
Je nikitaka kwenda masters kwanza ndo nirud kufundsha vyuoni itakuaje na natakiwa nisome nn?Hapana LEACTURE wana master degree
Kwa wewe utaingia na entry level yaani degree kama TUTORIAL ASSISTANT na overall gpa at degree level ni 3.8
So kaza msuli na usi SUP, SUP zinashusha gpa
Sjawahi pata sup hyo C nimeikatia rufaaHapana LEACTURE wana master degree
Kwa wewe utaingia na entry level yaani degree kama TUTORIAL ASSISTANT na overall gpa at degree level ni 3.8
So kaza msuli na usi SUP, SUP zinashusha gpa
Asante kwa ushauri, ntajitahd sana kuanzia hii 4semester stak B plain tena ntakuletea mrejesho mwezi wa 8Mdogo angu kaza sana sio rahisi kuweza....
Epuka C epuka B plain wew kamua mabanda Ana B+
Soma sana pia usisahau kumwomba MUNGU....
Mm mwenyewe nili lipambania KOMBE miaka zaidi ya 12 iliyo pita....
Kwa Sasa Nina postgradute nili ifanikisha miaka miwili iliyo pita...................
Huwa na PENDA Ile brass band wakati wa kutunukiwa degree....
Ntafanya PhD inshallah.....Hii PhD ni Kwa ajili ya kutimiza kiu na ndoto yangu ya ELIMU....
I wish siku Moja niwe na hiyo Title ya Dr.
Aah inategemea na kipaumbele chakoJe nikitaka kwenda masters kwanza ndo nirud kufundsha vyuoni itakuaje na natakiwa nisome nn?
Unasoma course ganiAsante kwa ushauri, ntajitahd sana kuanzia hii 4semester stak B plain tena ntakuletea mrejesho mwezi wa 8
Mwenyez MUNGU akutangulie Ili utimize lengo lako.....Asante kwa ushauri, ntajitahd sana kuanzia hii 4semester stak B plain tena ntakuletea mrejesho mwezi wa 8
Amina ikawe heri mkuuMdogo angu kaza sana sio rahisi kuweza....
Epuka C epuka B plain wew kamua mabanda Ana B+
Soma sana pia usisahau kumwomba MUNGU....
Mm mwenyewe nili lipambania KOMBE miaka zaidi ya 12 iliyo pita....
Kwa Sasa Nina postgradute nili ifanikisha miaka miwili iliyo pita...................
Huwa na PENDA Ile brass band wakati wa kutunukiwa degree....
Ntafanya PhD inshallah.....Hii PhD ni Kwa ajili ya kutimiza kiu na ndoto yangu ya ELIMU....
I wish siku Moja niwe na hiyo Title ya Dr.
Bachelor of science with education (biology and geography)Unasoma course gani