Komaa kijana soma vitabu vingi sana punguza kutumia muda mrefu social network kama ukiingia jamii forum na kwingine patumie kama burudani tu na si vinginevyo heshimu vitabu navyo vitakuheshimu, tafuta njia ya kukuza uelewa wa lugha ya mzungu(English),Mwisho pafanye library kuwa ndio rafiki yako wa karibu siku ukishindwa kusoma Academic books soma hata magazines usisahau ukisoma sana chuoni kuna muda utajigundua akili yako kama unataka kuwa chizi jitahidi kucontrol emotional stress, Usisahau kupata tiba ya wanawake unapohitaji ila usipende,mwisho jiandae kusoma Masters,Kisha kwa ufaulu huo utakuwa lecture bora kijana don’t give up.Yangu ni hayo tu.