Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

Hao panya Road lazima watambue kuwa hawawezi kucheza na usalama wa Taifa hili wakabaki salama, lazima wajuwe kuwa njia walioichagua kupita Ni ngumu na yamajuto Sana, lazima wajuwe kuwa serikali hii haiwezi ikawafumbia macho watu wanaohatarisha usalama wa Taifa Hili, lazima wajuwe hawawezi wakajeruhi watu, wakapora watu, wakaua watu wasio na Hatia halafu wabaki salama na kutamba mitaani,

Lazima wajuwe kuwa usalama wao Ni kuachana na vitendo hivyo vya kiharamia na kinyama, Haiwezekani watu waishi kwa hofu kwa ajili yao hao vibaka, lazima wajuwe kuwa kazi hiyo haina manufaa na niyamoto Sana,

Nampongeza Sana mh mkuu wa mkoa wa DSM mh Amos makala kwa namna yeye na vyombo vyake vya ulinzi na usalama wanavyoendelea kuhakikisha hao panya Road wanamalizwa na jiji linarudi katika utulivu na Amani, lazima wasakwe wote, lazima wakamatwe wote na lazima wajuwe kuwa huwezzi ukashindana na serikali Wala huwezi ukaishinda serikali
Hii ndo komesha ya vibaka na majambazi Kigoma tuliteseka sana lakini Kipindi cha Magu hawa jamaa wamepigwa shaba na Kuliwa na mamba live mto malagarasi unatupwa mzima mamba midomo iko wazi wamesubiri wakudake.
 
Back
Top Bottom