Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Kwa maana yenu kupiga ni kuiba hela ya umma, huyu hjawahi kuwa mtumishi wa umma sasa kapiga wapi?

Soma hii habati hapa mkuu...

 
Mkuu hii akili ya kudhani rais ana mamlaka makubwa ni ya AJABU SANA. Nitajie ni wapi mkuu yeyote hana mamlaka makubwa- anzia na kwako kwenye familia
Katiba ina mpa Mamlaka makubwa sana na hii sio kauli yangu ni ya Nyerere mwenyewe.Rais wa Tanzania is above the law-chochote kinachotokea kizuri au kibaya katika Utawala wake ni yeye atakuwa amebariki kwa 💯 na Wananchi kwa uoga wetu hatuna cha kumfanya.

Emu niambia ni Rais wa Nchi gani wa Ulimwengu wa kwanza Ufisadi wa kutisha unaweza kufanyika na wahusika wasichukuliwe hatua?
 


P,
Upo sawa. Na sisi tunasema tukijua fika wote ni wana Ilboru wewe, Mimi na Mwigulu laikini kwa manufaa ya nchi hii sio wizara yake.

 
Mzee Mwinyi aliwahi kumpa Uwaziri wa Afya Prof. Sarungi kisa tu alikuwa msimamizi mzuri Muhimbili National Hospital. Nafikiri matokeo yake unayakumbuka.
 
Huku Rais ni zaidi ya MUNGU
 
Kwa vile Nyerere kasema basi!? Sina hakika unaufahamu kiasi gani kwa yanayotokea nchi nyingine.
 
Wivu tu- charges ingekuwa kutoka kwa mwajiri wake ingelijenga tuhuma za huo mnaouita upigaji
 
Kuna hawataguswa mpaka 2025, vigezo ni wewe nani kwetu na tunakutuma kazi gani na una kipi cha kuaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…