Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Sidhani kama kutakuwa na baraza jipya la mawaziri maana Bunge letu hata likisimamia jambo dhidi ya serikali mwisho wake ni kurudi kupongeza serikali kwa ama kutokuteke maazimio yao au kuyatekeleza.
Kuna mbunge mmoja aliwahi kufananisha bunge hasa wabunge wa ccm na zezeta. Hawajui ni lipi wanataka au hawataki.
Ukiwauliza mnasikia njaa wanaitika ndio na papo hapo ukarudia swali kuwauliza mmeshiba, wanasema ndio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Paskali, serikali si uwanja wa majaribio
 
Hii nchi ina tatizo gani? Watu wake tumerogwa au! Badala ya kujadili hoja ya msingi kuhusu Madudu ambayo cag ameyaona, mnajadili nani atoke nani awekwe wapi...... Shida sana. Pesa zilizoliwa zinarudije? Waliokula fedha wanawajibishwa je?! Hayo ndiyo mambo ya msingi ambayo watu wanapaswa kujikita kuyajadili. Tunakomeshaje tabia hizi zilizokithiri za viongozi kuiba pesa za umma bila woga. Kama mambo hayo hayapatiwi ufumbuzi . Katika hali ya kawaida mtu alieiba mabilioni ya shilingi haoni shida hata kuachishwa kazi maana pesa aliyoiba atawekeza mahali ambapo itaendelea kumpa faida kisha yake yote. Mungu lisaidie taifa hili loooooooo
 
Ni marufuku mchaga kupewa fedha
Maji hufuata mkondo, under the law of attraction, kuna makabila tofauti tofauti wana excel kwenye maeneo tofauti tofauti, wakimbiaji wazuri ni makabila ya wawindaji wa asili, kina Bayi, Nyambui, Ikangaa, etc, wachonga vinyago wazuri ni Wamakonde, kwenye bucha za nyama, Wagogo, makarani wazuri ni Nyasa, wafanyabiasha wazuri ni Wahindi, Waarabu na Wachagga, hivyo kwenye kazi za fedha fedha na maokoto Wachagga are the best. Kuna makabila tajiri na makabila masikini, ukimpa fedha tajiri zita multiply, ukimpa masikini utafilisika. Money attracts money!.

Hata kwenye kuchagua mke wa kuoa, angalia kabila!, pima maendeleo ya uliosoma nao wakaoa Wachagga ulinganishe na waliooa Wazaramo, au waliooa makabila tajiri kulinganisha na makabila masikini!. Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
P
 
Hii nchi ina tatizo gani? Watu wake tumerogwa au! Badala ya kujadili hoja ya msingi kuhusu Madudu ambayo cag ameyaona, mnajadili nani atoke nani awekwe wapi...... Shida sana. Pesa zilizoliwa zinarudije? Waliokula fedha wanawajibishwa je?! Hayo ndiyo mambo ya msingi ambayo watu wanapaswa kujikita kuyajadili. Tunakomeshaje tabia hizi zilizokithiri za viongozi kuiba pesa za umma bila woga. Kama mambo hayo hayapatiwi ufumbuzi . Katika hali ya kawaida mtu alieiba mabilioni ya shilingi haoni shida hata kuachishwa kazi maana pesa aliyoiba atawekeza mahali ambapo itaendelea kumpa faida kisha yake yote. Mungu lisaidie taifa hili loooooooo
Mkuu Zama, hayo tumeisha yasema sana humu angalia watu tulianza lini kuripoti kuhusu ripoti ya CAG

P
 
Mkuu comte , majaribio ni kumpa hazina yetu masikini wa kutupa badala ya kumpa mtu wa kifedha fedha!.
P
Nakubaliana na wewe, ila walitwaliwa miongoni mwetu, watanzania wote without exceptional tuko kwenye level ya umaskini na ushahidi unaupta ukiona rais, waziri katibu mkuu anawaza kujenga nyumba. Kwenye Maslow Pyramid of need utaona shida yetu iko wapi- wengi tuko bado kidato cha chini kabisa, wachache wamefika kidato cha pili
1699366026474.png

Kwa upande mwingine, tunahitaji mtu muelewa wa mambo bila kujali ni mchumi au fedha

Finance is about how individuals, businesses, and organizations manage and allocate their financial resources. It involves analyzing and making decisions about using money, investments, and financial instruments such as stocks, bonds, and derivatives.

Modern societies require the use of finance. It is crucial in determining the overall health and development of economies and businesses. The demand for professionals with financial knowledge is strong across many industries, including banking and investment management.
Economics is about how people, organizations, and societies distribute and employ resources, such as capital, labor, and land, to create goods and services. It examines how economic agents choose what to produce, how, and for whom.

Economics is critical in shaping public policy and guiding public and private decision-making. It analyzes and addresses various economic issues, including income inequality, environmental sustainability, international trade, and economic development.
Kwa hayo machache bora waziri wa fedha mchumi kuliko wa finance
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom